Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,679
- 218,188
Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780
Kutoa ni moyo .
Unaijua kanda ya ziwa ?
Wanapiga pedali , Froome amesingiziwa.unaijua kanda ya ziwa ?
RUSHWA!View attachment 1478084
Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi .
Kutoa ni moyo .
We Kyela umetoa Vyerehani hata kwa wajane?Unaijua kanda ya ziwa ?
Ni sawa tu hakuna shida. Kwa Mbowe katoa nn?
View attachment 1478084
Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi .
Kutoa ni moyo .
TAKUKURU hawajiingizi kwenye kila kitu...wana miongozo yao.Hii inatofauti gani na ya Morogoro?
Kwa Morogoro ni Mbunge katoa Rushwa, kwa Tabora ni “Kutoa ni Moyo”?
TAKUKURU shame on you!
Double standards