Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,490
215,332
Mh Kigwangala jana ametoa na kugawa Pikipiki 38 kwa wenyeviti wa kata,makatibu w ( 640 X 640 ).jpg


Inasemekana ni kwa ajili ya kuwawezesha viongozi wa ccm kufanya shughuli za chama kwa urahisi , Jumla ya baiskeli zilizogawiwa ni 780

Kutoa ni moyo .
 
Nchi hii kweli tuna miaka 500 kupata maendeleo ya kweli kwa hali hii.

Eti Karne ya 21 hii mtu anagawa baiskeli tena miezi michache kabla ya uchaguzi ili kuwarubuni watu. Na watu kweli watarubunika kwa baiskeli tena phonex.

Watanzania ni watu wajinga sana!
 
Hii inatofauti gani na ya Morogoro?
Kwa Morogoro ni Mbunge katoa Rushwa, kwa Tabora ni “Kutoa ni Moyo”?
TAKUKURU shame on you!
Double standards
TAKUKURU hawajiingizi kwenye kila kitu...wana miongozo yao.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom