sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,160
- 4,281
Sheria za nchi ziko wazi ni wahujumi uchumi mpaka hapo.ISSUE inakuja, .
Wameamua kujisahihisha na kujirekebisha. Sasa tuliobaki tunachukua jukumu gani??
Sheria za nchi ziko wazi ni wahujumi uchumi mpaka hapo.ISSUE inakuja, .
Wameamua kujisahihisha na kujirekebisha. Sasa tuliobaki tunachukua jukumu gani??
Hutokuwa mchochezi na hivyo ndivyo tunapaswa kuwa, lakini tujiandae kugawana maumivu ya vitu hivyoKwa hiyo nami nikisema tukivunja mkataba huu itatugharimu nitakuwa mchochezi? Huoni wachochezi ni wale walioingia mkataba huu?
uzalendo siyo kufanyaambo kijinga. Siwezi kuunga mkono. Hawa wako kihalali. Serikali iliwapa kihalali. Mtawalipa mahela ya miaka 99
tunaweza kulipa fidia huku tukilipwa fedha za uaminifu ili mambo yaishe!
Kila siku tunauliza humu hivi walioingia hiyo mikataba ya umilikishaji na ubinafsishaji hawapo hapa nchini ama hawajulikani?
Awa jamaa ni wavamizi au wapo kiahalali?
Mkuu rudisha Avatar picha yako tuliyokuzoea. Yani Jana tu ulikua nayoHujakosea ndiye yeye,
Itategemea na approach anaweza kutulipa
Hahaha, Waziri mpenda Sifa...wacha ajionee tu wanyama na kula vyakula bure kwenye hotel za Wazungu tumbo lijae arudi zake mjini, absolute toilets, clueless wind bag!Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Hivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
aaaahhh ssa hisitaleta shda nchiWaziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
aaahh kwn bdo mwako kwny mkataba wakitaka kulibwa hitakua shdaWaziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Kamtoa Jj Mwaka kwenye Ramani...Hivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?