Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

Mbona wengine wanasafirisha na pikipiki?? Hii Ina highlights tuna shida ya kuwa na magari ya kusafirisha wagonjwa na miili ya waliokufa, huyo aliesimamishwa katolewa kafara tuu, tuna tatizo la kimfumo, ila waziri Jafo hakuona hili ? Karukia kumfukuza kazi ... ombea tusiwe na viongozi wenye ego, wanaotaka kufanya waonekane wanafanya kazi! It is sick to watch 😏🤔
 
Jafo amerejea mkataba wa utumishi wa umma. Mtumishi anapofariki mwajiri anawajibika kumsafarisha na kumzika kwa taratibu na heshma zote za kiutumishi
 
Ana safirishwa kama parcel
Au kiroba huu siyo ubinadam

Ova
Kwa wale tunaoweka kumbukumbu vizuri myajua nani huyu anabebwa na Fork lift.

No comment
 
Attachments

  • IMG-20190506-WA0034.jpg
    IMG-20190506-WA0034.jpg
    49.3 KB · Views: 2
Jafo amerejea mkataba wa utumishi wa umma. Mtumishi anapofariki mwajiri anawajibika kumsafarisha na kumzika kwa taratibu na heshma zote za kiutumishi

Je waliweka specific atasafirishwa kutumia usafiri upi? Kama hawakuweka clear, then sidhani huyo mtu ana hatia... ingawa on the surface sio uungwana ila vijijini vingi miili ya watu inasafirishwa kinamna namna tu.. siku ziende
 
Mimi ningemuweka ndani Kisha kumfungulia kesi ya kukiuka kanuni ya Q7 na uhujumu uchumi kwa kutumia gari vibaya
 
Very bad!

Mitandao pia inasaidia kukemea yanayoendelea huko Chato na hivi karibuni mnaweza kuona serikali ikitoa tamko rasimi kujibu tuhuma zilizoko mitandaoni kuhusiana na miradi ya Chato.
Yana baraka zote na ndiyo maana tulikihitaji hiki kipindi cha pili tu polish Chato ing’are.
 
Back
Top Bottom