Ufisadi wa kutisha bodi ya kahawa – waziri wa kilimo na mkurugenzi mkuu bodi ya kahawa wahusika waku

John Kisii

Member
Nov 27, 2013
7
0
UFISADI WA KUTISHA BODI YA KAHAWA – WAZIRI WA KILIMO NA MKURUGENZI MKUU BODI YA KAHAWA WAHUSIKA WAKUU

Habari hii ni ndefu kidogo lakini naomba chukua muda kidogo kuisoma na utailewa vizuri jinsi gani wakulima wanaibiwa fedha zao huku tukiwa na Slogan isemayo KILIMO NI UTI WA MGONGO WA MTANZANIA na Waziri mwenye dhamana pamoja na kuelezwa amekaa kimya.

Mfanyakazi yeyote anaeongelea au atakae ongelea wizi huu amefukuzwa kazi au atafukuzwa kazi.

Inasemekana kibali kimetoka kwa Waziri mwenye dhamana na Bodi hii na kwa nini? haijulikani hebu tusome ndani inakuwaje waziri aamue kufanya hivyo bila woga.?

Habari hii sio majungu na wala sio uzushi kama ambavyo Mkurugenzi Mkuu anavyotamkaga pale atakapohojiwa.

Kwa kifupi tu naomba nitoe maelezo machache kuhusiana na bodi hii ya kahawa Tanzania.

Bodi ya Kahawa Tanzania ni shirika la umma ambalo baadhi ya majukumu yake ni:-
· Kuishauri serikali juu ya kanuni bora za maendeleo ya zao la kahawa Tanzania
· Kushughulikia uzalishaji na usafirishaji wa kahawa ndani na nje ya Tanzania
· Kulinda maslahi ya wakulima wa kahawa katika kuuza kahawa yao ili wapate bei inayolingana na jasho lao!
· Kuweka sera za uzalishaji, usafirishaji na utunzaji wa kahawa na mazao yatokanayo na kahawa
· Kuwakilisha Tanzania katika mikutano ya kimataifa ihusuyo kahawa nk.

Kwa jumla Bodi ya Kahawa ni chombo cha umma ambacho mkulima wa kahawa Tanzania anakitegemea kimtafutie soko zuri ili mkulima afaidike na kilimo cha kahawa. Kinyume chake inasikitisha kuona chombo hiki kimegeuka kuwa mwizi mkubwa wa wakulima wa kahawa badala ya kuwatetea na kuwalinda. Bodi imekuwa inawaibia wakulima kwa namna ambayo mkulima maskini wa Tanzania haelewi anavyoibiwa. Hata baada ya wachache wanaofahamu mbinu hizo chafu kupiga kelele kwenye vyombo vya serikali; kwa maana Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika; hawajasaidika.Na zaidi yake Waziri mwenye dhamana na bodi ndio ameziba masikio pamoja na Naibu wake na kuhakikisha wale wanaoongelea wizi huo wanafukuzwa kazi. Kitendo kinachoashiria kuwa na wao pia ni sehemu ya wizi huo unaofanywa na menejimenti ya Bodi hiyo.

Napenda nidokeze hapa kwa faida ya wakulima wa kahawa Tanzania na umma kwa jumla, hasa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na vyombo vingine vya serekali vinavyohusika; jinsi wizi huo unavyofanywa ili mkulima asaidiwe kupata malipo halali kwa jasho lake.na hata zile zilizoibiwa zirudishwe kwa mkulima.


  1. Bodi ya Kahawa Tanzania huendesha mnada wa kahawa katika soko lake lililoko Moshi (Moshi Coffee Exchange) kila siku ya Alhamisi (wakati wa msimu wa kahawa Julai- Februari.) Katika soko hili Bodi ya Kahawa husimamia mauzo ya kahawa kutoka kwa wanye kahawa (vikundi vya wakulima, vyama vya ushirika, wakulima binafsi au wakulima wenye mashamba makubwa). Bodi ya Kahawa inakuwa ni msimamizi wa kuhakikisha soko linaendeshwa kwa taratibu zinazokubalika kwani ndiyo dhamana waliyopewa na serekali. Mwenye kahawa (Muuzaji) anakabidhi mamlaka ya kuuza kahawa yake kwa Bodi ya kahawa (wakala wa muuzaji). Wanunuzi wakishanunua kahawa wanatakiwa wailipe Bodi ya kahawa fedha za manunuzi kabla ya siku saba kuanzia siku walipoinunua kahawa mnadani.


  1. Mauzo ya kahawa katika mnada hufanywa kwa Dola ya Kimarekani. Hii ni kwa sababu wanunuzi wengi wanaoshiriki katika mnada huo wanawakilisha makampuni mbali mbali duniani. Kwa kutumia dola ya Kimarekani, inakuwa rahisi wanunuzi hao kutafsiri haraka manunuzi kwa sarafu za kampuni/nchi wanazoziwakilisha. Wanunuzi huilipa Bodi ya Kahawa kwa dola; na Bodi ya Kahawa huwalipa wenye kahawa zao kwa dola au kwa shilingi za Kitanzania kulingana na matakwa ya mwenye kahawa. Vyama vya Ushirika na wakulima wakubwa wa kahawa mara nyingi hupenda kulipwa kwa dola, lakini vikundi vya wakulima, na wakulima wadogo hupenda kulipwa kwa fedha za Kitanzania. Inapotokea mwenye kahawa anataka kulipwa kwa fedha za Kitanzania; Bodi ya kahawa hubadili dola alizopata mnadani na kumlipa kwa shilingi za Kitanzania. HAPA NDIPO MKULIMA HUIBIWA!


Hili lilionekana na bodi ya wakurugenzi wasomi wa bodi iliyopita ya Mama Eva Hawa Sinare na aliweza kumshauri waziri mwenye dhamana husika kwa barua yake ya tarehe 18 October 2013 kama ninavyonukuu hapa chini.



  1. Coffee auction and money transfer to farmers or co-operatives this is important because of the potential for staff of bank and Coffee Board collusion not to negotiate favorable rates or to defraud farmers.

3. Siku ya mnada bodi ya kahawa hutoa kiwango elekezi cha kubadilisha dola (exchange rate) ili mwenye kahawa akadirie atapata kiasi gani kwa fedha za Kitanzania. Kwa muuzaji anayetaka kulipwa kwa fedha za Kitanzania, bodi ya kahawa hubadilisha dola za mauzo alizopata mnadani katika benki. Mara nyingi bodi inapewa viwango maalum (special rates); kwa kuwa wanabadilisha dola nyingi kwa mara moja na fedha hizi inasemekana huchukuliwa CASH toka benk husika (CRDB Tawi la Moshi) na wajanja hawa huzipeleka in cash kwenye AC za wakulima. Badala ya bodi kumlipa muuzaji fedha kiasi kilichopatikana chote; badala yake bodi ya kahawa huwalipa kwa kiwango elekezi walichopewa siku ya mnada, na tofauti inakuwa ni faida kwa Bodi ya Kahawa/wezi hao. Bodi ya Kahawa inapata faida kubwa kwa kutumia mtindo huo wa kuwaibia wakulima; na hiki kimekuwa chanzo kimojawapo cha mapato kwa bodi hiyo.

Hapa Mama Eva Sinare aliendelea kumweleza Mh Waziri kwenye barua yake hiyo:-

We were particularly interested in the auction operations and the foreign exchange handling because the former Minister, Prof. Maghembe, had informed us that he received complaints from co-operatives and farmers about the foreign exchange and the price of coffee. More transparency in terms of the handling of the money received through the auction, the rate of exchange applied, rate negotiated and what was actually transferred to farmers would help. We were interested in the handling of foreign exchange for another reason which is that the amount of foreign exchange handled by the Coffee Board merited an exchange rate better than the official BOT rate and it would have been interesting to know if there were any negotiations for better rates and, if yes, what the rates were and how the money was used since it would belong to the farmers or if not it should be so indicated as foreign exchange gains.

Hata hivyo takiribani misimu mitatu 2009/10, hadi 2011/12 Bodi ya Kahawa imepata zaidi ya Shilingi 1.6 bilioni kutokana na biashara hiyo haramu kama ifuatavyo:-

MSIMU TSH
2009/2010 551,426,000
2010/2011 855,139,000
2011/2012 202,659,000
2012/2013 Bado haijajulikana
JUMLA 1,609,404,000

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa hesabu zilizokaguliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serekali. Hesabu zinaonyeshwa ni “faida kutokana na ubadilishaji fedha” (gain on exchange rate AU kwa namna nyingine zinaitwa Other Sources of Income. Kumwibia Mkulima?).Hata hivyo vikundi kadhaa Mkoani Mbeya vimeipeleka Bodi hii mahakamani vikidai malipo yao yafanyike kwa dola lakini bado Bodi ya kahawa imewapelekea malipo yao kwa Tsh kitendo kinachowafanya menejimenti ya Bodi hiyo kushikwa na kigugumizi kutokana na kutokujua wanatoa wapi fedha za kuwalipa ambayo ndio ile tofauti iliyopatikana baada ya kubadilisha fedha hizo.Napenda kusema kuwa ikumbukwe kuwa serikali kama serikali ilishajitoa kwenye kufanya biashara na kuwa msimizi tu kama inavyojieleza hapo juu.

Mama Eva Sinare anaendelea kumweleza waziri Chiza :-

38. The amount of money that could be paid for the benefit of farmers or the Coffee Board
could theoretically be calculated from the following figures for 2011/12 and 2012/13:
1) 2011/12 seasons Coffee Board sold auction sales of 21,705 tons worth USD98.124million and direct ex-sales of 11,601 tons worth USD38.83million. Hence a total of 33,306 tons worth USD136.96million
2) For the 2012/13 new season Coffee Board sold auction sales 33,894 worth USD90.75million (the season is not yet completed)
39. Going by the experience in the banking sector (the Chairman of the new bank is an expert on banking), the banks give improved rates over the BOT rates for any large amount of foreign exchange converted into Tanzanian shillings of between Tanzanian shillings 2-5 shillings per dollar. The total amount of Shillings received should be more in Tanzanian shillings to the equivalent of between USD 2 to 6.7 million using the above figures which translated into Tanzanian shillings it would be huge amounts of money that could be passed on to the farmers. We could not get any information on whether any rates were negotiated. The figures above are estimated examples of how much more, in Tanzanian Shillings, the Coffee Board could negotiate with the bank. The examples show that huge amounts of money could be received from improved rates for the benefit of farmers.
40. That is why it is crucial for the actual money exchanged and transferred to co-operatives and other parties relative to the amounts of coffee sold to be disclosed because it is from the figures that it is possible to verify whether the amounts transferred were equal to the official rate or below the official rate or a specially negotiated rate that benefits the farmers was negotiated.

Ni ukweli kwamba

(i) Fedha zinazopatikana kutokana na kubadili fedha za mkulima wa kahawa ni za mkulima mwenye kahawa. Bodi imewasaidia kuzibadilisha tu. Bodi haitakiwi kufanya biashara na fedha za wakulima. Bodi ya kahawa kwa jinsi hii, inawahujumu wakulima wake.
(ii) Kwa kubadilisha fedha za wakulima kwa faida, Bodi ya Kahawa inafanya kazi kinyume na madhumuni ya kuundwa kwake. Bodi ya kahawa siyo Asasi ya Fedha.
(iii) Bodi ya kahawa imefanya biashara ya kubadili fedha na kupata faida kubwa ya 1.6 billioni kwa misimu mitatu; Je, bodi ya kahawa imeilipa serekali kodi kiasi gani?

Mama Eva Sinare anaendelea kumweleza waziri Chiza kwenye barua yake hiyo kuwa:-

The stakeholders' meeting discussed the issue of red cherry and it was clear that most areas wanted the sale of red cherry to continue but in other areas especially Mbozi, wanted the sale of red cherry to be prohibited. The problem is that the Coffee regulations apply to the whole of mainland Tanzania without exception. The executive, including organs of Government such as parastatals (Coffee Board being one of them) have no power to apply the regulations as they wish where they wish. Furthermore, the provisions of any subsidiary legislation are limited in the scope and content of the principal legislation. For example, the Regulations cannot prohibit the sale of red cherry where the principal act allows it. The majority of the stakeholders decided that the sale of red cherry should continue until next year and charged the Coffee Board to find out why the sale of red cherry was a problem in Mbozi, Kagera and Kigoma with a view to resolving the issue next year. Yet the MP from Mbozi declared he was not satisfied with the majority decision and that he would continue to fight until his view was accepted namely red cherry is prohibited whether through a political decision or change in the provision of the Regulations. His letter to the Minister was written after the Stakeholders' meeting and after he had failed to get the Board to agree to breach the law to satisfy his demands. Thus, when you told me, when I met with you at your offices that the MP from Mbozi was calling you asking when the new Board would be dissolved and that you were eager to do so to avoid " makelele bungeni", I was very shocked. So the MP from Mbozi follows closely an investigation about which we are not asked about and gets a recommendation for dissolution of the Board and the dismissal of the Chairman and then follows closely to see that the Board is dissolved! This is not right legally, politically or morally

Mwisho
1. (a) Waziri mwenye dhamana Mh. Eng. Christopher Chiza, Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika; wakulima ni wadau wako. Fuatilia ukweli huu ili uwaokoe wakulima kutokana na wizi huu unaoongozwa na Mkurugenzi Mkuu Adolph Kumburu,Mkurugenzi wa Fedha na utawala Astery Bitegeko,Mkurugenzi wa masoko na ubora wa kahawa Primus Kimaryo na Mhasibu mwandamizi Goodluck Moshi pamoja na watu flani kwenye Benk ya CRDB tawi la Moshi. Mkulima ataendelea kuumizwa mpaka lini?
Mh waziri Kama Mama Sinare alivyoeleza kwenye barua yake kuhusu bodi hii na wewe bila aibu kuitupilia mbali barua hiyo.

This letter is submitted to you in order to give you a brief on what the new Board did between mid- April and August 2012. We understand that we are not to meet as scheduled this week following your instructions so this letter is meant to give you the brief that I would have given you on the 20 August 2012 when you called me to your offices but there was no time or desire for a briefing. The letter is to give you a brief because I suspect the Director General may not give you a correct brief, based on our experience with him in the few months we have operated where he has changed reports to reflect different decisions than what the Board had decided.

(b) Pamoja na kwamba Mkataba wa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa ndugu Adolph Kumburu kulimalizika tarehe 1 Oktoba 2013. Mh. Waziri kwa kutumia Bodi aliyoiunda kwa faida ya kumlinda swahiba wake huyo,Mkurugenzi mkuu huyo ameonekana akitamba kuwa ameongezewa muda na hivyo hakuna wa kumgusa pamoja na kwamba waziri mwenye dhamana apaswa kumchukulia hatua kama alivyoshauriwa na Mama Sinare kwenye barua yake hiyo yeye waziri kakubaliana kimizengwe na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Juma Ngasongwa kumwongezea muda.

Hapa naomba kunukuu sehemu ya Mama huyo kwa waziri:-

WHO DISCIPLINES THE DIRECTOR GENERAL?
25. The Board noted that the Director General was contracted by the Ministry and that he could only be disciplined by the Ministry and not the Board. Given that the report on the treatment of the two employees was prepared by Government it should be clear to Government that the Director General is not managing the Coffee Board as he should and that he should be disciplined. The Coffee Board would only function well for the benefit of the coffee industry if both management and staff worked together as a team and that is possible if the institution is managed fairly and according to the labor laws. The Coffee Board is not managed fairly and according to established employee laws at all. The Director General urgently needs the assistance of a trained human resources person to manage administration and human resources issues or be disciplined or both.

Hata hivyo pamoja na Scheme of Service mpya ya Bodi ya kahawa inayotamka kuwa sifa za mkurugenzi mkuu sharti awe na Master’s Degree ambapo yeye KUMBURU hana na badala yake anayo Bachelor’s degree ya Processing Engineering ya mwaka 1986 pekee.

Kwani Sheme of service iliyopitishwa na serikali inasema kama ifuatavyo,

SCHEME OF SERVICE DUTY POSTS
1. JOB TITLE: Director General
Appointed by: Minister responsible for Agriculture
Reports to: Board of Directors
Direct Entry Qualifications:
Holder of Master’s Degree in Economics, Law, Agricultural Economics, Engineering, Business Administration, Commerce or its equivalent from a recognized University/Institution with 12 years relevant working experience 5 of which must be at Senior Managerial level in the public service or reputable private organization with both Local and International coffee industry knowledge.
Special Skills and Attributes:
- High Probity and integrity
- Visionary proactive
- Managerial and organizational skills
- Innovative
- Ability to communicate fluently in both written and spoken Kiswahili and English
- Knowledge of code of ethics and conduct of the public service
- Customer focused
- Computer Literate
Mode of Employment
The Director General shall be employed on contract terms not exceeding five years but renewable based on merit and performance.
Remuneration: Salary Scale: CBGS 10
Job Purpose:
To plan, direct, control, organize, coordinate and manage the performance of the Board effectively and efficiently under the directions of the Board of Directors and approval by the Permanent Secretary of the Ministry responsible for Agriculture.
Main Duties and Responsibilities: Advises the Board of Directors on the formulation of policies and their implementation;
Prepares plans, Annual Estimates and budgets for submission to the Board of Directors for approval and later to be submitted to the Permanent secretary of the Ministry responsible for Agriculture;

Hapa nanukuu toka kwenye barua ya Mama Sinare kwa waziri,anachokifanyaga Bw Adolph Kumburu baada ya vikao vya Bodi kumalizika :-

1 The Director General substantially altered the minutes for the 18th April and 2nd of June, 2012 meetings after the Board members had reviewed them and approved them. He changed and then misled members that there were no changes made after the minutes had been approved by the board members. When changes were discovered during the minutes approval process all he could state was that it was the obligation of members to read the minutes and discover changes he, as secretary, has made and if not, then his changes would be adopted by members without knowing that there were changes and that that was right. As a result, the Board approved the minutes subject to corrections to reflect what was discussed in the meetings and gave the Chair the responsibility to make the corrections. This was completed on the 10th of August 2012 when the Director

Ensures the implementation of the approved plans and budget in accordance with financial Regulations and Accounting Manual of the Board;
Establishes adequate rules, procedures and regulations necessary for effective control and management of the Board's assets, liabilities and overall financial activities; Acts as Accounting Officer of the Board;
Maintains harmonious contact and relationship with the government, Board and other
stakeholders with the purpose of getting professional advice on the development of Coffee Industry;
Prepares quarterly and annual financial and operations reports for submission to the
Board of Directors for its onward submission to the Permanent Secretary of the Ministry responsible for Agriculture;
Ensures the implementation of the Board of Directors resolutions;
Supervises and monitors work performance of Heads of Department in keeping with their individual annual performance contracts;
Carries out open Annual Performance Appraisal for Heads of Department
Performs any other relevant duties as may be assigned by the Board of Directors.

2. Bodi ya kahawa imepata faida ya shilingi 1.6 bilioni kutokana na biashara haramu ya kubadilisha fedha za wakulima. Mamlaka ya Mapato Tanzania inayo kodi ya kukusanya kutoka bodi ya kahawa kama bodi hiyo haitarudisha fedha hizo kwa wakulima husika.

3. Serikali ikae tayari kujihami kwa namna yeyote haswa pale wakulima wa kahawa nchini watakaposhtuka na kudai fedha zao. Ifahamike kwamba endapo hali hii itajitokeza serikali itakumbwa na kashfa kama ile ya EPA ambayo ilisababishwa na watumishi wa umma ambao hawakuwa waadilifu na mamlaka husika kushindwa kuwachukulia hatua kwa wakati muafaka.

Bodi hiyo iliondolewa kutokana na utendaji kazi wake kwa kisingizio cha wengi wao ni wa kutoka mkoa mmoja.

Tutaendelea kuwaleteeni jinsi gani wizi mwingine wa fedha za ushuru wa kahawa unaokusanywa na bodi hii unavyoliwa kwa kushirikiana na halimashauri za wilaya husika zilimazo Kahawa.
 
Mh hii ni kali kuliko kumbe ndio maana walifanya kampeni mpaka ile bodi ikaondolewa hii nchi bw kiboko
 
Kweli imetusikitisha sana hasa sisi wakulima wadogo huku wilani Mbinga.kUUMIA TUUMIE SISI SHAMBANI WENGINE WALE HELA YETU hii sio sawa.Kwa hili tunatayarisha mauzo yetu yote na tunajipanga kwenda kumwona Mh Raisi atusaidie kurudisha fedha yetu na tumeambiwa kuwa hata Account sale tulizo nazo ni za uongo na kwa nini hutuonyeshwi ni rate ipi iliyotumika kubadilisha fedha zetu kwenye Karatasi ya mauzo ? ambayo ni tofauti na ile ya siku ya mnada ?

Serikali inalinda wezi wa kutuumiza sisi ambao tunaumia huku na madawa ya kahawa waziri nae anwabeba kwa nini au nae ni sehemu ya wezi hao maana kama huyo mama sinare alimweleza waziri hayo hapo juu waziri chiza amewachukulia hatua gani kama hakuna basi nae waziri ni mwizi wa hela za wakulima

Mh Raisi tunakuja kukuona kabla ya kwenda mahakani au tunakata kahawa zote

Kumbe bodi ya kahawa haitusaidii sisi wakulima badalla yake wanatuibia na ndio maana wanavaa vizuri na kuedesha magari mazuri wezi wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom