Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

Mpina Luhaga kila kukicha anawabana Mawaziri wa Rais Samia.

Ana hoja za msingi anaonekana ni mtetezi wa wanyonge maana anawabana Serikali na viongozi wake kwa hoja zenye mantiki.

Mara kibao tunaona magizo ya PM Majaliwa hayafanyiwi kazi. Lakini Mawaziri wapowapo tu. Mfano uwajibikaji wa watumishi umma.

Halafu Abdallah Ulega unaongea Pumba eti samaki walipimwa kimakosa kwa amri za Luhaga Mpina. Kwani Fisheries regulation za Tanzania zinasemaje? Kwani Samaki akikaangwa ndio anapungua urefu. Acheni upuuzi jibuni hoja za Mpina .
Abdallah Ulega miongoni mwa mawazori wa ovyo kuwahi kutokea!
Mswahilswahili asiye na point zaidi ya mipasho bungeni.

Ni huyuhuyu ambae majuzi pia alipingana na Vice President wetu Mheshimiwa Mpango!

Kule bungeni ni dhahiri kuwa wabunge makini kama mheshimiwa Luhaga Mpina,wanapambana na kundi la walamba asali na machawa wao,ambao kwao hoja kubwa ni kusakatonge na uteuzi.
 
Abdallah Ulega miongoni mwa mawazori wa ovyo kuwahi kutokea!
Mswahilswahili asiye na point zaidi ya mipasho bungeni.

Ni huyuhuyu ambae majuzi pia alipingana na Vice President wetu Mheshimiwa Mpango!

Kule bungeni ni dhahiri kuwa wabunge makini kama mheshimiwa Luhaga Mpina,wanapambana na kundi la walamba asali na machawa wao,ambao kwao hoja kubwa ni kusakatonge na uteuzi.
Umepigia jibu mstari
 
Magufuli alisema kuwa Luhaga Mpina ni kichaa kama alivyokuwa yeye Magufuli hivyo kupima samaki waliokaangwa kwa rula ilikuwa ni kudhihirisha kichaa chake. Ila yote kwa yote hawa wabunge wa CCM wakiraruana nafarijika sana natamani wauane kabisa ili idadi ya wezi wa kura ipungue.
 
Kati
Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali.

Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao washapikwa.

---

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema alishindwa kupinga maamuzi ya aliyekuwa Boss wake Luhaga Mpina baada ya Viongozi wa Wizara hiyo kwenda kupima kwa rula samaki waliopikwa kwenye mgahawa wa Bunge.

Ulega amesema hayo wakati akijibu hoja ya Mpina aliyoiibua Bungeni wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo alimtaka Waziri aeleze kanuni iliyotumika kutekeleza zoezi hilo.

“Wakati mwingine tunakaa kimya maana kukaa kimya nayo ni busara, samaki akishapikwa anapoteza shape anapoteza size sayansi ya samaki haielekei huko , samaki yule aliyepimwa na Boss wangu wa zamani (Mpina) Mheshimiwa alikuwa amekaangwa kapita katika nyuzijoto nyingi sana alipoteza uhalisia sasa alitaka wakati ule nimwambie Mzee unakosea hapa”


View attachment 2609416

Pia soma
Ni afadhali Ulega nae angeendelea kukaa kimya. Ila amedhihirisha unafiki wake kwa umma.
 
Kikwetu ulega ni ulevi hana jipya tangu lini mtu wa pwani akawa na akili

USSR
Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki mpuuzi wewe! Ulega kutokuwa na akili haina maana kwamba watu wote wa panic hawana akili. Hawana akili leo lakini ndiyo waliopigania UHURU JINGA WEWE.
 
Back
Top Bottom