Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,306
- 83,741
Sure mkuu watu wanatakaga tu kujitutumua lakini ukweli ni kwamba hata uwe na roho ngumu kiasi gani kutoa roho ya binadamu mwenzio siyo kitu kidogo. Ile guilt lazima itakutafuna moyoni milele hata usipoonesha hilo mbele za watu.Binadamu wa siku hizi wamekuwa delicate kama kasha la yai....unaweza kumpiga mtu kibao, ukashangaa amenyoosha miguu, ndiyo kaaga dunia hivyo .
Na wanaume wengi wanaoshambulia pale wanaookwaruzwa, mara nyingi unakuta kagari ni kapya, au amepakia msichana pembeni ..hivyo anatumia fursa hiyo kumuonyesha yule msichana kuwa naye ni mbabe....
Wakati mwingingine, ni bora kujidai mjinga, maisha yaendelee