Ilishawahi nikuta nikitoka Moshi kwenda Mwanza......Mafuta nikaja kuweka Singida.Hatari sanaHii njia ya Arusha-Dom ya ajabu sana usiombe upite usiku yaan vituo vyote vya mafuta jamaa wamefunga wameenda kulala nimetembea karibia km 200 sijapata mafutaView attachment 2068239

