Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,358
W12 unapata 450hp?Si uchukue VW Phaeton W12, inakupa around 450HP. Hii gari was way ahead its time. Nafikiri ilitoka miaka ya 2000 mwanzoni hadi 2014. Inashare engine na Bentley, ila unapata kwa bei za the people’s car haswa.
Ni mbadala mzuri wa RS6 kama pesa haijatulia bado.
Matumizi mabaya ya pesa.
Bora ujipinde uchukue 3L ikupe hata 510hp.