Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,830
- 225,639
Nilikuwa nafukia viraka vya jana.Umepita leo
Nilikuwa nafukia viraka vya jana.Umepita leo
Unanitisha mkuu, wengine tu new comerAnalysts wengi wanatoa projections za oil kufika na kutoboa $100 kwa pipa kwa mwaka huu. Huku bei inaweza cheza 2800 - 3500.
In 5 years inaweza cheza kwenye $200 kwa pipa. Ambapo huku bei inaweza fika 5000 - 6000.
Tuongeze juhudi za kuzisaka.
Hizo ni projections tu.Unanitisha mkuu, wengine tu new comer
Inawezekana kabisa maana Mbezi to Msamvu ni kama 180kms hivi. Kwahiyo kama ulikuwa unatembea na zaidi ya 100kph kwa muda mrefu inawezekana kufika in less than 2 hours.Kumbe Mbezi Dar to Msamvu Morogoro inawezekana chini ya masaa mawili bila hata ya kufika 160kmph
SGR itaweza?
View attachment 2080088
Na vituo vyote?
View attachment 2080087
Halafu hiki kitu sikujua kabisa, wese la Total linakata mapema sana, kuna siku nimeweka wese la 30k mizunguko kidogo tu taa ikawaka na ni gari ya 1.8LUngeweka Total mjini usingefika ingebidi ujaze tena mahali
Hii arusha au Moshi?
...hiyo oil yake iko na white blood cells ndani yake..?
nacheka kwanza...Hivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert
Nkoaranga au Momela hii..
Wapi hapo Madam? Kuko vizuri sana.
Shukrani, tupo kwenye miji ya watu sahiziSafari njema boss.
Ukikaza hata lisaa 1:30 unatoboa maana nimeweza kutumia 1:54 kwa mwendo wa kawaida na bado kun afande alinikamata mlandizi akanipotezea kama dakika 5Inawezekana kabisa maana Mbezi to Msamvu ni kama 180kms hivi. Kwahiyo kama ulikuwa unatembea na zaidi ya 100kph kwa muda mrefu inawezekana kufika in less than 2 hours.
Hii nchi sehemu nyingi kinachotuchelewesha kwa asilimia kubwa ni foleni, vibao, tochi na si umbali. Zamani kuna dereva aliwahi toka Dar saa 12 akaingia Mbeya saa 7 na basi la abiria.
Leo hii tunaona haiwezekani tukidhani eti sababu ni umbali. SGR walisema itakuwa inatumia masaa 2 from Dar to Moro na masaa 8 from Dar to Mbeya endapo itakamilika hadi huko.
Kwa sasa tuendelee tu kutilisha mtori nyama zipo danta
Uwe na safari njema mkuu
Ni semi hii hii au semi Ile nyingine.Kuna pisi kali
Semi trailer itapenya pale
Nijibu chap
Hao maafande wenu hatari sanaUkikaza hata lisaa 1:30 unatoboa maana nimeweza kutumia 1:54 kwa mwendo wa kawaida na bado kun afande alinikamata mlandizi akanipotezea kama dakika 5
Mambo ya Gusheshe"Sheshe" BMW Series 3
Porsche Panamera hata Ulaya bado za Moto, unakumbuka kipindi Pierre Emeric Aubeyang wa Arsenal anapohamia kutoka Dortmund alienda London na hii gari yenye decorations za Vito. Mawakala wake wanapoingia walizubaa wakiitazama gari yake na South Africa hizo ni deal sana hata iwe juu ya mawe raia watakuja na pesa kwenye mfuko wa kushoto wa shati.Nimeaanza kuzielewa sana Porche hasa panamera.. ila sijaona hata moja yenye bei ya kinyonge nilienda mahala nikaiona nikasema eeh hizi ndio gari sasa
Moto wake sio wa kukaribia kama ni hivyo.. acha tufunge mikono nyuma tuwe mashabiki.. kuipenda hiyo ni dhambi kwa sasa 😂😂😂Porsche Panamera hata Ulaya bado za Moto, unakumbuka kipindi Pierre Emeric Aubeyang wa Arsenal anapohamia kutoka Dortmund alienda London na hii gari yenye decorations za Vito. Mawakala wake wanapoingia walizubaa wakiitazama gari yake na South Africa hizo ni deal sana hata iwe juu ya mawe raia watakuja na pesa kwenye mfuko wa kushoto wa shati.
Cheki link hii maboss wa Arsenal walivyokuwa wanashangaa Porsche Panamera ya jamaa wakicheki anatoka Africa.Moto wake sio wa kukaribia kama ni hivyo.. acha tufunge mikono nyuma tuwe mashabiki.. kuipenda hiyo ni dhambi kwa sasa 😂😂😂
Nkoaranga au Momela hii..