Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna mambo mengine unamuangalia mtu hadi huruma inakujia...Wiki iliyopita nimeenda mahali nikapaki....nikawa napata huduma..
Kuna jamaa akawa amepaki Hiace ya kampuni, ile anaondoka akagonga gari langu akabonyeza gari langu kasehemu kadogo..
Nikamfuata nikakuta ni kijana mwenzangu, nikamuuliza, huna mirrors za kuangalia nyuma..? Akajitetea nisamehe brother mirror ya kushoto imekaa vibaya...
Akaniuliza anipe sh ngapi ili tuyamalize..(nahisi alitegemea nitasema elfu10)
Nikamwambia sitaki hela yako, itakuwa nakuonea wewe lete fundi wako akupe gharama then utengeneze gari..akasema poa...akenda mtaa wa pili akaja na fundi,

Fundi akamwambia hapa naweza kunyoosha ila itabidi hicho kipande chote kirudiwe rangi...ni kakipande tu kadogo...fundi akamuambia jamaa nipe elf 70000....khaa
Jamaa alipaniki, akaanza kulia lia haswaa.....bro nisaidie, hapa kampuni ikijua tayari sina kazi...hiyo 70000 ikawa mtihani .
Nikamueleza nikiyomueleza nikaachana naye..ila alimtoa fundi kidogo za usumbufu...
Yule jamaa hakuamiani kama nimemruhuru aondoke, akaniomba namba, baadae akanipigia akanishukuru tena akasema, sijawahi kukutana na mtu muungwana hivyo..
Mazee ndizo baraka zenyewe hizo. Hizi material things saa zingine uwa tunazithamini kupita kiasi. Hivyo nyakati zingine ukiamua kutoa sadaka, hakika hata Mungu anazidi kukubariki.
 
Kuna mambo mengine unamuangalia mtu hadi huruma inakujia...Wiki iliyopita nimeenda mahali nikapaki....nikawa napata huduma..
Kuna jamaa akawa amepaki Hiace ya kampuni, ile anaondoka akagonga gari langu akabonyeza gari langu kasehemu kadogo..
Nikamfuata nikakuta ni kijana mwenzangu, nikamuuliza, huna mirrors za kuangalia nyuma..? Akajitetea nisamehe brother mirror ya kushoto imekaa vibaya...
Akaniuliza anipe sh ngapi ili tuyamalize..(nahisi alitegemea nitasema elfu10)
Nikamwambia sitaki hela yako, itakuwa nakuonea wewe lete fundi wako akupe gharama then utengeneze gari..akasema poa...akenda mtaa wa pili akaja na fundi,

Fundi akamwambia hapa naweza kunyoosha ila itabidi hicho kipande chote kirudiwe rangi...ni kakipande tu kadogo...fundi akamuambia jamaa nipe elf 70000....khaa
Jamaa alipaniki, akaanza kulia lia haswaa.....bro nisaidie, hapa kampuni ikijua tayari sina kazi...hiyo 70000 ikawa mtihani .
Nikamueleza nikiyomueleza nikaachana naye..ila alimtoa fundi kidogo za usumbufu...
Yule jamaa hakuamiani kama nimemruhuru aondoke, akaniomba namba, baadae akanipigia akanishukuru tena akasema, sijawahi kukutana na mtu muungwana hivyo..
Dooh natamani siku hata ikitokea bahati mbaya nimegonga gari ya mtu basi awe mwenye mioyo kama yenu

Huwa tunashuhudia watu wanavyokula makofi mbele za watu kama watoto wadogo si mchezo

Na hata mimi mtu akigonga gari yangu huwa sijuagi kuwaka kuanza kumtukana au kumpiga

Sema majibu yake ndiyo yatadetermine nimchukulie hatua gani maana kuna wale wa "kwenda huko utanifanya nini"

Kuna mtu aliwahi kuvunjiwa ufunguo wa gari lake hivi hivi kisa majibu yake ya shombo na wakati kosa ni lake
 
Na mara nyingi ukiona mtu ameguswa kidogo huko bara barani akaanza kumshambulia mwenzake kwa makofi au matusi mazito, basi huyo ni limbukeni wa gari au ni limbukeni wa matumizi ya barabara.......
Mtu akishatambua kwamba barabarani kuna kukwaruzwa au kukwaruza gari la mtu, kazina awe muelewa...
 
Haha usikute ndiyo wale aliokuwa anawasemea 9.8ms squared kwamba akipindua IST tu anachanganyikiwa. Sasa mtu kama huyo umkute kajichanga kavuta zake BMW halafu ujichanganye ukamgonge weee huwa wanasahau kabisa kwamba haya mambo ni ya kibinadamu tu na kuna leo na kesho.
 
Siwasemi vibaya ila madereva wa IST wamechangamka sana kama wa subaru watata sana..
 
Dooh natamani siku hata ikitokea bahati mbaya nimegonga gari ya mtu basi awe mwenye mioyo kama yenu

Huwa tunashuhudia watu wanavyokula makofi mbele za watu kama watoto wadogo si mchezo

Na hata mimi mtu akigonga gari yangu huwa sijuagi kuwaka kuanza kumtukana au kumpiga

Sema majibu yake ndiyo yatadetermine nimchukulie hatua gani maana kuna wale wa "kwenda huko utanifanya nini"

Kuna mtu aliwahi kuvunjiwa ufunguo wa gari lake hivi hivi kisa majibu yake ya shombo na wakati kosa ni lake
Kwenda huko

Utanifanya nini
 
Back
Top Bottom