ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,280
- 15,315
Ongezea pia sedan ya 20M na crossover SUV ya 20M, bila shaka sedan itakuwa more luxuriousNi mapenzi tu. Kama ingekuwa shida hivyo zipo gari za juu bei ya kawaida tu from 15-30m sio issue. Hazipishani na sedan tunazoendesha. Labda kama unazungumzia LC200,RR na jamaa zake. Ila hizi Dualis,RAV4,Harrier,Murano,Xtrail sio issue.
Mimi binafsi sedan ndio choice ya kwanza kwasababu napenda mwendo ambao ni salama zaidi kwenye sedan.