Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,510
- 9,349
Hivi wabongo na ujuvi wao wote wa uchakachuaji, wamshindwa kuchakachua hizo limiter, kitu igonge angalau 220kph .?Ila limeter ndo inaondoa raha ya hiyo gari......labda upate version ya euro
Hivi wabongo na ujuvi wao wote wa uchakachuaji, wamshindwa kuchakachua hizo limiter, kitu igonge angalau 220kph .?Ila limeter ndo inaondoa raha ya hiyo gari......labda upate version ya euro
Reliability ya toyota za sasa imebaki kwenye injini na gear box...kwa upande wa body .anaunda mabati flani hivi na mchanganyiko wa plastic....hovyo kabisaa..Y62 ila mchine kubwa, Crown sio ya kuiamini sana hata body lake
Tuache!
Sedan utaishia kupasua radiator wenyewe wanakukuta mbele umepakiKama una gari kubwa SUV kama RR unapeleka moto tu unanyooka kama hakuna unoko, juzi nimepita siku hivi nilipita nilikuta swala kapigwa baraaa kama una ka sedan 😀😀😀😀
I feel so fresh....few days relaxation can do wonders!Aahahahahahhahaaa
Naanzaje sasa kuwaacha 😜😜😜, wakati hamuendi kwenu hadi mpite Tabora kwetu by Road Trip 😅😅😅
Bataringaya leo ni siku ya kurejesha afya.
Supu ya Sato na mbaazi mbichi zilizochemshwa....
Weeuweeeee protini tupuuu 😋😋😋
I feel so fresh....few days relaxation can do wonders!
Thank you.
Za kutosha 😂😂😂
Kuna wale wanaofanya tunning kwa kuzijaza modsHivi wabongo na ujuvi wao wote wa uchakachuaji, wamshindwa kuchakachua hizo limiter, kitu igonge angalau 220kph .?