Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni mapenzi tu. Kama ingekuwa shida hivyo zipo gari za juu bei ya kawaida tu from 15-30m sio issue. Hazipishani na sedan tunazoendesha. Labda kama unazungumzia LC200,RR na jamaa zake. Ila hizi Dualis,RAV4,Harrier,Murano,Xtrail sio issue.
Mimi binafsi sedan ndio choice ya kwanza kwasababu napenda mwendo ambao ni salama zaidi kwenye sedan.
Ongezea pia sedan ya 20M na crossover SUV ya 20M, bila shaka sedan itakuwa more luxurious
 
Road blocks za usiku hazina shida kabisa.

Nikianza ku approach nawasha interior lights mapema wanajua mzoefu huyu. Most times since nakuwa mwenyewe wanaachaga nitembee. Few times wanasimamisha na kukagua bima / uhamiaji. 1 minute maximum safari inaendelea. Only once njia ya Arusha walikagua mpaka buti na vyote vilivyomo.
Hii njia ni road blocks za full time, tena ni zile za hadi akufungulie ndio upite sio zile za kupoza kuchora S na kupita juu kwa juu. Zipo kama 2 hivi au 3

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ni mapenzi tu. Kama ingekuwa shida hivyo zipo gari za juu bei ya kawaida tu from 15-30m sio issue. Hazipishani na sedan tunazoendesha. Labda kama unazungumzia LC200,RR na jamaa zake. Ila hizi Dualis,RAV4,Harrier,Murano,Xtrail sio issue.
Mimi binafsi sedan ndio choice ya kwanza kwasababu napenda mwendo ambao ni salama zaidi kwenye sedan.
Ni kweli mkuu, ila kuna baadhi ya watu wanafanya kazi mazingira magumu, unakuta uchumi hauruhusu hata kukaa kwenye Rav 4, Xtrail and the likes....kwa sababu ya gharama za maintenance na mafuta...basi unakuta mtu kajichimbia ndani ya vitz old model ya kumvua mtu au passo piston 3 ya kumvua mtu..

Binafsi pia napemda sedan zenye mwendo na choices zangu ni Fuga na Crown, Brevis kwa mbali..
 
:D :D :D:D duh eti kajichimbia....mkuu huendi mbinguni!
 
Hivi vipande vinafaa Mjerumani unaisukuma hadi 200+ ila GR na akina Fuga watakupa hasira maanake mshale utalala ndani ya dakika unaanza kusikia limiter in action!
Yeah inaumiza roho sana. Japo watu huko nje wanaona unatembea hakuna mfanowe ila moyoni unajua kabisa akitokea mjerumani au muingereza unawasha kushoto unakaa kwa kutulia.

Ulishawahi kufungua kioo ukiwa 180+ ukasikilizia upepo wake?
 
Sijawahi kufungua kioo mwendo huo. Ila kutembea 180kph na Mjapan inataka moyo wa chuma.
 
Nishawahi kupakia abiria wakawa wanapiga stori nikawaambia hivi mnajua tuko 180?

Hawakuamini.

180 ili feel vipi kwenye crown?

Mimi 150 kwenye RAV4 killitime ilinitisha nikarudi. 165 kwenye Harrier tako la nyani iliniogofya kidogo japo niliweza kumaintain.
Ila 180 kwenye hii gari kwakweli usiposoma dash au kuifeel limiter hutakaa ujue
 
Nissan wanajitahidi, nishawahi kupush Y62 V8 hadi 200kph ilikuwa imetulia kabisa. Crown 180kph unahisi anytime kinawaka (kama umezoea gari nyingine zilizotulia)
 
Kwakweli sina experience ya ku compare, you must know better.

Ila kama Fuga feels this good at 180, kiasi unaweza ukarelax ukaweka mkono mmoja kwenye steering, sipati picha how germans would feel.
 
Nishawahi kupakia abiria wakawa wanapiga stori nikawaambia hivi mnajua tuko 180?

Hawakuamini.

180 ili feel vipi kwenye crown?

Mimi 150 kwenye RAV4 killitime ilinitisha nikarudi. 165 kwenye Harrier tako la nyani iliniogofya kidogo japo niliweza kumaintain.
Ila 180 kwenye hii gari kwakweli usiposoma dash au kuifeel limiter hutakaa ujue
Kwa uzoefu wako kwenye mwendo wa 165 Kati ya harriee new model na Kluger ipi imetulia barabarani?
 
89 Reactions
Reply
Back
Top Bottom