Wazee wa mji na Vichaa wa mji wa Jf !

Habari zenu wapendwa,
Nimepita hapa naelekea hapo dukan kwa mangi.

Msalimie sana mangi mwambie kuwa lile deni letu ntakuja kulipa mwesi salasini na saba, si unajua serikalini hamna fesa bado fesa haijatoka, ikitoka tu ntakwenda.
 
vp kuhusu invisible yupo kundi gan?,lile la waz...au vic...?.
 
Back
Top Bottom