Wazee wa mji na Vichaa wa mji wa Jf !

Wazee wa mji na Vichaa wa mji wa Jf !

Awali ya yote nianze kwa neno :
Zamani enzi hizo nilipokua nikikaa kwenye mazungumzo na wazee, hasa wenye rika la Babu au Bibi zangu nakumbuka walikua wakisema, HAKUNA MJI USIOKUA NA WAZEE ! kwa nyakati tofauti pia nilikuwa nikiwasikia wakisema HAKUNA MJI UNAOKOSA VICHAA WAKE !
Ni kitu kilichozooleka sana (Common) kukisikia masikioni mwetu mara kwa mara.
Maneno kama :
> Wiki ijayo mkuu
wa Nchi
ataongea na
wazee wa mji .... na kama ikiwa
Dar, basi itakua
Diamond jubilee au Anatoglu n.k
Kwa upande wangu yamenijia mawazo muda mrefu, kwamba hapa Jf mfano wake pamekaa na vigezo vingi vinavyoashiria kama ni mji flani hivi.
Mji ambao mimi leo nikiambiwa niteue wazee 20 hapa Jf, wawakilishe Jf kwenda kuhutubiwa au kuongea na Mkuu wa nchi, ingenipa taabu sana.
Taabu hiyo ingesababishwa na kua wazee wenye sifa za kuwateua ni wengi, na idadi inayotakiwa ni ndogo.
Hata hivyo kwa niaba ya hao wengi (kuzingatia Seniority)
Ningewateua wafuatao :
1. Ngambo Ngali
2 Tanmo
3 Mzizi Mkavu
4 Ndahani
5 Uporoto
6 Nyani Ngabu
7 Preta
8 Mbu
9 Lizzy
10 Kichuguu
11 FirstLady 1
12 Mr. Rocky
13 Belinda Jacob
14 Kigarama
15 Bak
16 Companero
17 Mwanakijiji
18 Kwetu ni kwetu 19 The Boss
20 Oxlade Chamberlain Je ? Wewe unaesoma Thread hii unaambiwa Taja VICHAA unaowaona ama kuwafikiria wana vigezo vya Uchaa hapa Jf (kuzingatia maudhui ya Post wazitoazo au uchangiaji wao wa mambo yaletwayo katika mji huu wa Jf , ungewateua akina nani ?

wewe mwenyewe.
 
kuna huyu m2 anakwenda kwa jina la GM! ebwana mi namwonaga kama mwehu ht sredi zake huwa nakaa nazo mbali ili nisije na mimi nikawehuka.Halafu nahisi wehu wake ni wa kuridhi hauponi.
POPOBAWA.
 
Ndo taabu ya watoto kufuatana kuzaliwa
siku zote ni tom na jery

unasemaje tena mpenzi Qong?
Nani tom na nani jerry sasa...
I wish ningekuwa tom,
si unakumbuka 'Texas Tom'?
 
Seniority matter !

kwa hiyo wewe mtaani kwenu kama kuna jizee levi mbwa,
kila siku linapiga mkewe na matusi kibao, bado ukitaka kutoa posa utalituma lenyewe just kwa vile limekula chumvi mob?
Nijibu sasa!
 
mimi hapo numba 9 katika wazee wa JF ndo pameniacha hoi.
Mbavu zangu mie,
n'cheke n'nenepe!

Wanawake wa uswahilini utawajua tu. . wakikosa attention lazima wafanye hata kitu cha kuwaaibisha alimradi nao wakumbukwe. Get a life!!
 
Wanawake wa uswahilini utawajua tu. . wakikosa attention lazima wafanye hata kitu cha kuwaaibisha alimradi nao wakumbukwe. Get a life!!

I love uswahilini, thats where I live...
 
Hili swali la nani "mcharuko"mwishowe watu mtashikana mashati. Ngoja nitoke zangu Mtogole niende uwanja wa fisi nikaonane na JB nimuulize kama mademu wa Bongo Movie wameamua kutokuvaa vinguo vinavyowaweka nusu uchi nusu wamejisitiri!!
 
Asilimia kubwa ya watoto wa uswahilini ni micharuko kama ni mtoto wa kike dawa yake ni kumpachika mimba tu. Nitarudi baadae kidogo
 
Asilimia kubwa ya watoto wa uswahilini ni micharuko kama ni mtoto wa kike dawa yake ni kumpachika mimba tu. Nitarudi baadae kidogo
Kama mcharuko ni mwanamke dawa yake itakuwa nini?
 
1.dazipozi,Mx
2. Mphamvu
3.GM

Kwaherini

eh?
Sasa swali si linataka vichaa na wazee wa mji? Sie wazee wa mji au vichaa...
And where's Mwita25, Wakusoma, washawasha, senetor et al et al.
 
Back
Top Bottom