Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote.
Yeyote anaye jaribu kuelezea jinsi mwanaume anavyo tumiwa Kama mtumwa na mwanamke anapata uoinzani mkubwa.
Anaelezea zaidi chombo chochote Cha habari au gazeti likijaribu kuweka makala kuelezea matesp hayo ya wanaume linapata uoinzani na kukosa fursa ya kutangaza au kufanya biashara sababu wanawake ndiyo sehemu kubwa ya masomo ya biashara mbalimbali.
Sijui Kama ipo sahihi kisheria naambatanisha kitabu husika.
Mods mnaweza kufuta Kama Kuna mgogoro wa hati miliki (copy right)
Hujachelewa waokoe na wengine ...πHicho Kitabu kaelezea hadi libido na kusema mwanaume huwa wanadhani wanawake hawana mihemko ya ngono na kudhani kupewa ngono ni reward. Kumbe wanawake wanatamani Sana ngono pia.
Since nilikisoma hicho Kitabu niliacha kuwa manipulated na wanawake na Ku-focus na MAISHA
Hujachelewa waokoe na wengine ...π
Na ndio wanapiga sana nyeto kuliko wanaumeKumbe wanawake wanatamani Sana ngono pia.
Utakuta mwamba anasema "dah kama zali jana mtoto kaja geto kanipa mzigo"
Pumbavu!
Anafuata Pesa wanaambiana wasitembea na waume za watu hotel za kifahari watazisikia kwenye bombalazima atamfata huyo mwenye pesa na akifilisika anamkibia
Mtumwa mwingine huyuKataa ndoa ni kama simba ambaye kaamua kujifananisha na mbuzi,anataka kula majani,alie kama mbuzi na kunya mavi ya karanga.
Matokeo yake wataliwa na fisi nyikani humo,simba hakwepi majukumu yake.
Mtumwa wa ndoa au wanawake??Mtumwa mwingine huyu
VyoteMtumwa wa ndoa au wanawake??
Fikra tu,unadhani ukikataa ndoa unakuwa umekwepa utumwa gani kati ya alivyoorodhesha huyo mwandishi??Vyote
We acha tu, hakika wanaume ni watumwa wa wanawake periodUnamtumia MTU nauli ili uje umpe raha na unampa na hela πππ huyu mama mzungu kafunguka mambo mengi sana
Anafuata Pesa wanaambiana wasitembea na waume za watu hotel za kifahari watazisikia kwenye bomba