Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Utakula kwa harufu tu, "Haki ya mama angu, Nikikupa chakula, labda babu yako mzee Kaijage afufuke"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Utakula kwa harufu tu, "Haki ya mama angu, Nikikupa chakula, labda babu yako mzee Kaijage afufuke"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka kaka angu alimpa mimba binti mmja Hivi halafu akawa anavunga kukataa...bimkubwa akamuuliza " ulijua unatema mate huko chini"?
Hahaha kwahyo kwa mume utakuwa goli kipa. Vipi mume hana ela ya mchele?[/QUOTE Mi mwanaume ,kutengea ugali wanaume wenzako kwa jamii niliotokea ni dharau ya kiwango cha juu mnoo.
Hii hua naitumia Mimi kwa wanangu wanachekaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama peni yangu umeiona wapi
Jibu: njoo njoo hapaaa..ipo humu (hapo akionesha puani kwake) chukuaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahah hadi now?Mimi nilikuwa mkorofi, yaani mtu akinichokoza ni ngumi tu hakuna namna nyingine: Maneno ya mama yangu (RIP)
"Hivi wee .... hiyo tabia yako ya ugomvi utakuwa mwanamke wa aina gani ukiwa mtu mzima?"
Yaani haya maneno ya mama kila mara yanagonga kichwani kwangu. Pumzika kwa amani my mama
mkuu sukari tena unaanzaje kuiacha na umeelekezwa kabisa ilipo!?Kwahyo ulijua amekupa ulee
Aaahahaa et sumni[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu sukari tena unaanzaje kuiacha na umeelekezwa kabisa ilipo!?
nakumbuka kuna wakati alikua anamgombeza kakaangu kwa maneno aloongea dada akacheka,dada aliambiwa "wewe jichekeshe tu hapa kama mrembo kaona sumni"
yaani mpaka hua nikukumbuka naishia kufurahi tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimechekajeNiko primary balehe kali hatari nimenunua tu card twangu twa I love u nimezisend kwa Toto mbili tofaut kitaa kumbe walionyeshana wakaanza kutambishiana huku na kule wakanyukana case kufika home maza kuziona card na nilivyo tupiamo tumaneno mswano mama na mama zangu wakwe waliishiaa kuchana na kuniambia mwanetu unajua kuchagua !
Mi siwezi kumuambia hvyo ila ya puani ndo sanaa!Hahah ww mzazi weew umetisha.
Kuna mzaz mwngn anakwmbia "ipo matakoni kwangu njoo uchukue"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaahahaa et sumni[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni utoto tu ila nawapenda sana mazeri wangu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimechekaje