Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Aisee. Mimi nimekuwa bila Mama.
Na Baba ni fundi gereji.
Sasa pata picha. Wakati wa kuvunja ungo tuliambiwa hivi:
"Pigweni turumba mpaka ifuke moshi"
God knows what that meant but it worked its magic😛😛😛Tulijitunza sasa mimi na mdogo wangu.
Mungu awabariki wazee wetu kwa kweli na walio tangulia awajaalie pepo.