Mkuu. Usitusahau na siye waanzisha post japo ela ya fanta kwa mangi.Mama alikua akinishambulia kwa maneno makali ata pakiwa na watu, haijaalishi pana nani, yaani yy ugomvi wake mkubwa ifike kipindi cha sala hujasali duhhh!! Sasa ifike wakati hajakuona muda mrefu kipindi icho ndio naanza kumiliki Nokia torch, uko wapi ww, nashkuru alishanipiga sana na ndio ilionisaidia kuwa na nidhamu mpaka leo, mpaka leo niko nje ya nchi anakua anasali na kuniombea mwanawe nizidi kufanikiwa, na sasaivi nataka nimtumie hela ya skuku apa LOVE U MOM AND DAD
Usjaali mkuu tuko pamoja sanaaaaa broMkuu. Usitusahau na siye waanzisha post japo ela ya fanta kwa mangi.
Big up mom maana bila ww huyu jamaa Leo angekuwa kindacta
,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]we mwana kujaa mavi ulikuwa wapi.
maneno tu ya shombo ya ma bi mkubwaMwana kujaa mavi? Mkuu vipi ulikuw upo njema ku pupuu eeh
hahaaa ... nikikukamata ..utakiona cha mtema kuniCheza na wanaume wakupe mimba ndio utakapojikuna ukurutu hahah dah
kwakweli".. maneno yote hayoNilichokugundua hapa Wamama wanamatusi ya mazito mazito tu.
duuhh bimkubwa wako alikuwa amevurugwaMama yangu tusi lake kubwa ni "tigo" utaskia utanitambua, leo ntakufinya mapaja hadi nikutoe ngozi mku*** wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaaUtakula kwa harufu tu, "Haki ya mama angu, Nikikupa chakula, labda babu yako mzee Kaijage afufuke"
hahaa saanaMleta mada mama yako alikuwa msela