Maneno ya mama hayo,,,hahaaa. Nilikua natamani kumuuliza hadi baba??Hee. Hata wa humu jf[emoji51]
Duh! ni balaa aseeMama yangu tusi lake kubwa ni "tigo" utaskia utanitambua, leo ntakufinya mapaja hadi nikutoe ngozi mku*** wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaa inawezekana maana inakuwaga bahati mbaya,mpo kucheza mara ukateleza ukaangukia D mimba tayari apo.Hahahhahaha mimi niliambiwa hata ile kucheza nisithubutu nitapata mimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lione yani limekaa kichawi chawi tu kama shangazi yake, Yani ukoo wenu ni wachawi na yana roho mbaya kweli
H hahaha shikamoo mamaUnauliza chakula, umeoa hapa?
Kwani haukula uko ulipokuwa?
Umeanza kuruka mawimbi ehe?
Uliniaga wakati unaenda?
Ruka ruka nao, Kwani ntakuwepo wakati unafungwa nepi!? Utakula ulipokuwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwiiii aiseee mama angu ukiumwa UTI kipindi nipo sekondary anakwambia
"UMEENDA KULALA NA BWANA AKO AMEKUAMBUKIZA KASWENDE NYAUUU WEWE KESHO NAKUPELEKA HOSPITALI"
Mate [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nakumbuka kaka angu alimpa mimba binti mmja Hivi halafu akawa anavunga kukataa...bimkubwa akamuuliza " ulijua unatema mate huko chini"?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] heshima yako mkuuNiko primary balehe kali hatari nimenunua tu card twangu twa I love u nimezisend kwa Toto mbili tofaut kitaa kumbe walionyeshana wakaanza kutambishiana huku na kule wakanyukana case kufika home maza kuziona card na nilivyo tupiamo tumaneno mswano mama na mama zangu wakwe waliishiaa kuchana na kuniambia mwanetu unajua kuchagua !