D
Deleted member 485868
Guest
"Muangalie vile sura kama ya shangazi yako"
Ukimwita mama" hata mimi pia nina mama yangu tena bado kijana"
"We fanya ujinga wako tu nikikukamata utajua kwanini nlikuzalia nyumbani" hako kamsemo Mama alikua anakapenda sana