Wazazi wetu na kauli zao

Wazazi wetu na kauli zao

Acha uongo wewe, labda kama ali rip ukiwa mdogo, unaijua barehe wewe??? Au labda kama wewe ni mtoto si riziki dizain ya akina James Delicious poa.
usipende kulazimisha mambo mkuu!!
kama mama yako alikuwa mcharuko, usifikiri wote wako hivyo..!!ona unavyotukana watu usio wajua,ni matokeo ya malezi mabaya uliyopata kutoka kwa mama yako!!
 
1: Siku ukilala na mwanaume, au kukupa kitu chochote ukapokea, nitakuua.

2. Ukipewa barua yeyote niletee mwanangu, sawa? Nije nimkomeshe huyo mbwa.

3: tukifunga shule, tutaitwa chumbani, Mara utasikia " bado mko kama mlivyotoka hapa? Ndio mama tunajibu, ahaaa kinachofata ni inspection ahaaa, inspection aliacha baadae ya f6 dah mama alikuwa balaa.

4: vipikipiki vikipita Mara pipiiiiiii, utaona kashachungulia dirishan akiona ni vijana wa mitaana, weee atamfata, kwa vitisho balaa, siku nyingine, wanapita kimya. Masikini wengine walikuwa wanatuitaga kutupa barua za Dada zetu.ahaaa.

Love u mama lucky.
 
[emoji13][emoji13].
 
usipende kulazimisha mambo mkuu!!
kama mama yako alikuwa mcharuko, usifikiri wote wako hivyo..!!ona unavyotukana watu usio wajua,ni matokeo ya malezi mabaya uliyopata kutoka kwa mama yako!!
[emoji13][emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo nimeosha vyombo havijatakata utasikia umeosha hii sufuria me najibu ndio mama njoo sogea hapa hapo sufuria ina mafuta balaa anayapangusa na kidole ananifutia mkononi na kibao cha kunisindikiza nikaioshe vizur sema baba alipofariki mama akapoa tu had leo kapunguza yan namuona zaidi ya rafiki
 
Uwiiii aiseee mama angu ukiumwa UTI kipindi nipo sekondary anakwambia

"UMEENDA KULALA NA BWANA AKO AMEKUAMBUKIZA KASWENDE NYAUUU WEWE KESHO NAKUPELEKA HOSPITALI"
 
Hapo nimeosha vyombo havijatakata utasikia umeosha hii sufuria me najibu ndio mama njoo sogea hapa hapo sufuria ina mafuta balaa anayapangusa na kidole ananifutia mkononi na kibao cha kunisindikiza nikaioshe vizur sema baba alipofariki mama akapoa tu had leo kapunguza yan namuona zaidi ya rafiki
ila mchango wake huwezi ona kipindi icho lakini now niwamuhimu sana.
 
  • Thanks
Reactions: THT

Bila yeye kua vile nisingekua hivi kabisa nilikua sipendi jiko yan nikiona mama anapika me natimka na alikua akknifundisha kupika ni mara moja tu ya pili ntapika mie, ugali nilikua nahama na sufuria kutoka plate moja kwenda ingine ananipiga sasa hivi nimekua mpishi hata kuliko yeye kwa kweli nashukuru jinsi nilivyo ndio malezi alonilea
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mama yangu tusi lake kubwa ni "tigo" utaskia utanitambua, leo ntakufinya mapaja hadi nikutoe ngozi mku*** wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mama hajawahi kunitukana hivo tusi lake kubwa ni mshenzi mkubwa
 
  • Thanks
Reactions: THT

Similar Discussions

Back
Top Bottom