TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,481
- 5,327
Hao ni wa mama wa uswailin ila nachokumbuka kwangu n upendo wake tu. Alinipa hela akituma sokon pamoja na yangu ili eti nikitokea nimekanyaga nyanya za watu nilipe. wakati naondoka na mgumu aliniambia chukua baiskel uwah japo najua alinipa baiskel ili nisipate shida tembea. Alitumia neno mwanangu karibu siku zote (hakunizaa bahat mbaya ndo mana hakuona yafaa nitukana)
daima R.I.P my mom
daima R.I.P my mom