Wazazi Wanaolalamika Wamefeli?

Wazazi Wanaolalamika Wamefeli?

Unakamatwa ikiwa unawalea ila wangap wanakataa kuwalea kabisa na hakuna sehemu wanapofikishwa

tatizo tunalazimisha wazazi wawe na mzigo wa Kujali watoto peke Yao huku watoto wakiwa hawana tatizo lolote ikiwa hawatowajal wazazi wao
Hujawahi kusikia kesi mahakamani za wazazi kutelekeza watoto??

Haiwezekani mtoto akawa na wajibu wa lazima kuhudumia wazazi. Mtoto yeye atakuwa naye na wajibu wa lazima wa kuhudumia watoto wake atakaowazaa, hii ni common sense na logic tu wala sio hata rocket science.
 
Hapo ni kumuonea mzazi Kwamba akuhudimie kwa kila kitu halafu wewe ukatae kurudisha fadhila kwake
 
Sheria zinamkandamiza tu mzazi ila mtoto ilibidi na yeye apewe jukumu la kumsaidia mzazi wake hata kwa asilimia chache tu

Mtoto anapewaje jukumu wakati naye anawatoto wake aliowazaa?

Sheria zinazotaka mtoto amsaidie Mzazi ndio Kandamizi na zinatekelezwaga na watu Wenye akili ndogo, maskini,

Mzazi ni kama Mungu.
Uliwahi sikia Mungu akihitaji Msaada wako?

Mzazi unajukumu sio tuu la kulea Bali kuacha urithi Kwa watoto wako.

Huo urithi wa miradi na Mali ndio utautumia Kwa watoto wako kutaka wakupe kidogo kutoka kwenye kile ulichowarithisha.

Wewe unafikiri kwa nini unaambiwa ufanye kazi Siku sita kisha Siku Moka tuu ndio upumzike?
 
Kama wazazi wako huwa wanalalamika kuwa walijinyima sana kwa ajili yenu, basi umezaliwa na wazazi waliofeli vibaya sana. Watu hawapendi ukweli, yaani kuwaza tu hivyo wanaona tayari wanapata laana. Mtu anajinyimaje kugharamia matokeo ya furaha na starehe zake.

Watoto ni matokeo ya starehe zako, hakuna mtoto yoyote aliyeomba umzae. Halafu unakaa kabisa kumuambia mtoto eti niliuza shamba usome. Wee shenzi nini🤣 Uza chochote aisee si ulitaka mwenyewe. Ungetuliza 'genye' unadhani huyo angekuwepo? Na wewe unahaha kwa mikopo kama mwehu kusomesha utitiri wa wadogo zako kisa eti mzazi alijinyima kwa ajili yako. Ulitaka nani ajinyime kwa ajili yako.

Watoto siyo biashara wala bima ya maisha, tunazaa tu kufurahia na siyo kuwafanya pensheni ya uzeeni. Achana na huu mtazamo uliosababisha turithishane umaskini kwenye jamii nyingi.
Ila wamagharibi!!
 
Sheria zinamkandamiza tu mzazi ila mtoto ilibidi na yeye apewe jukumu la kumsaidia mzazi wake hata kwa asilimia chache tu
Mtoto uliyemzaa hukumuuliza kama anataka kuja duniani sasa utatakaje akuhuhudimie wewe?!
It doesn't make sense.

Unaweza kusaidiwa na mtoto kama hisani tu ila sio wajibu au majukumu ya msingi ya mtoto kuhudumia wazazi. Labda ungesema hata ni wajibu wa serikali kukuhudumia ukiwa masikini kwa sababu unalipa kodi na inasimamia rasilimali mbalimbali kwa niaba yako, ila ni ujinga kutaka kumbebesha mtoto jukumu la kukulea hasa kama hajarithi mali za kuendeleza kutoka kwako.
 
Mtoto anapewaje jukumu wakati naye anawatoto wake aliowazaa?

Sheria zinazotaka mtoto amsaidie Mzazi ndio Kandamizi na zinatekelezwaga na watu Wenye akili ndogo, maskini,

Mzazi ni kama Mungu.
Uliwahi sikia Mungu akihitaji Msaada wako?

Mzazi unajukumu sio tuu la kulea Bali kuacha urithi Kwa watoto wako.

Huo urithi wa miradi na Mali ndio utautumia Kwa watoto wako kutaka wakupe kidogo kutoka kwenye kile ulichowarithisha.

Wewe unafikiri kwa nini unaambiwa ufanye kazi Siku sita kisha Siku Moka tuu ndio upumzike?
Unajua nini wazazi wanapozeeka wanaweza kuwa na Mali ndiyo ila wakateseka kihisia kisa. Kutengwa na watu wanaowapenda hasa hasa watoto

Na hili lote linasababishwa na watoto kujiona hatuna jukumu la kujali chochote kuhusu wao
 
Mtoto uliyemzaa hukumuuliza kama anataka kuja duniani sasa utatakaje akuhuhudimie wewe?!
It doesn't make sense.

Unaweza kusaidiwa na mtoto kama hisani tu ila sio wajibu au majukumu ya msingi ya mtoto kuhudumia wazazi. Labda ungesema hata ni wajibu wa serikali kukuhudumia ukiwa masikini kwa sababu unalipa kodi na inasimamia rasilimali mbalimbali kwa niaba yako, ila ni ujinga kutaka kumbebesha mtoto jukumu la kukulea hasa kama hajarithi mali za kuendeleza kutoka kwako.
Ingependeza na yeye mzazi apewe uhuru wa kuchagua kama atakulea au laah maana binadamu kuwekeza kwa kiumbe ambacho kitakuja kukukataa baadae ni uongo ulio dhahiri
 
Suala la kuzaa na suala la asili ili dunia iendelee kuwepo.
Mzazi kumuhudumia mtoto ni wajibu wake na mtoto kumuhudumia mzazi ni husani tu, wajibu wa mtoto kwa mzazi ni moja tu nayo ni kumuheshimu na kuheshimu huo wajibu unao timizwa na mzazi wako kwako.
Mfano mzazi ametimiza wajibu wake kukulipia ada ya shule pia ni wajibu wa mtoto kuhakikisha hiyo ada aliyo lipiwa anaiwajibikia kwa kusoma kwa bidii.

Kiufupi mzazi na mtoto wote wana wajibu wa kutimiziana ila kila mtu ana wajibu tofauti.
 
Mkuu ni kama umechanganyikiwa sasa.
Hakuna kuchanganyikiwa mkuu ila tunachowafanyia wazazi wetu sio fair kabisa

Ila tunakaza fuvu kwa kuwa sheria zinatutetea

Ila mzazi nae ni binadamu anahitaji kujaliwa
 
Mungu alijua kitaibuka kizazi kikorofi kama hichi, akaweka utaratibu mapema....

Kutoka 20
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
 
Mungu alijua kitaibuka kizazi kikorofi kama hichi, akaweka utaratibu mapema....

Kutoka 20
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
Mungu wa kwenye biblia amewekwa na mabeberu pamoja na kitabu Chao Cha mafumbo ili watu msiwe na fikra huru vinginevyo bila kuwekewa DINI na biblia na Mungu fake Dunia isingetawalika.
 
Mungu wa kwenye biblia amewekwa na mabeberu pamoja na kitabu Chao Cha mafumbo ili watu msiwe na fikra huru vinginevyo bila kuwekewa DINI na biblia na Mungu fake Dunia isingetawalika.
Ni wa kuhurumiwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom