Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

Cpa - Muhasibu kama Mengi (Rip)
Advocate - wanasheria kama kina Mukono
Madaktari
Consultants
ConstructionEngineers
Unasema wajiajiri kwa sababu biashara ni ngumu. Swali langu ni kwamba hao uliorodhesha hapo wanafanya nini kama sio biashara? Au wewe unadhani biashara ni kununua na kuuza vitu tu?
 
Unasema wajiajiri kwa sababu biashara ni ngumu. Swali langu ni kwamba hao uliorodhesha hapo wanafanya nini kama sio biashara? Au wewe unadhani biashara ni kununua na kuuza vitu tu?
Hizi ni Profession, sio kila mtu anaweza fanya hata kama hana elimu

Hio cpa pekee inabidi uwe mwanachama wa bodi ya wahasibu,
 
Reality vs opinion

Wewe unatoa opinion and not Fact.

Kila kitu ni biashara , hao unaowaona wapo serikalini wana hela , wapo wanafanya biashara. Ndo zimewaweka juu on top

They earn Passive income and active income
Sio opinion ni Fact labda kama upo mkoani hujawahi kuishi Dar ndio hautaweza kujua kwamba maeneo hayo niliyotaja wengi ni waajiriwa na wachache ni wafanyabiashara,

Lakini hata huko mikoani hali ni hivyo hivyo, kwa mkoa kama Mbeya maeneo kama Uzunguni, Forest, Isyesye wengi ni waajiriwa, wachache ni wafanyabiashara

Iringa maeneo ya Gangilonga

Huko Kagera nako itakuwa hivyo hivyo tu
 
Lakini ni biashara, tukubaliane hapo kwanza then tuendelee
Ni profession inayotoa ajira aidha kwa kuajiriwa au kujiajiri, utofauti wake tu ni kwamba inabidi uwe wualified professional unaetambulika na bodi husika kwa kufaulu mitihani yao
 
Inaonekana kinachokusumbua wewe ni uzembe. Hata hao walioajiriwa wakapata nafasi kubwa zenye maslahi usidhani wanapata muda wa kulala tuu na kula bata. Wanasota sana kutimiza wajibu kwenye nafasi zao
Upo sahihi mkuu,unakuta unafanya kazi una tasks kibao hata muda wa lunch we una skip lunch,jion wenzio wanatoka saa 11 we unatoka saa 1 jion….kupata kazi ni kazi ila kumantain nafasi yako ni kazi sana
 
Sio opinion ni Fact labda kama upo mkoani hujawahi kuishi Dar ndio hautaweza kujua kwamba maeneo hayo niliyotaja wengi ni waajiriwa na wachache ni wafanyabiashara,

Lakini hata huko mikoani hali ni hivyo hivyo, kwa mkoa kama Mbeya maeneo kama Uzunguni, Forest, Isyesye wengi ni waajiriwa, wachache ni wafanyabiashara

Iringa maeneo ya Gangilonga

Huko Kagera nako itakuwa hivyo hivyo tu

Wewe quality ya maisha ni maeneo na sio MTU mwenyewe na malengo yake.

Nipo DSM Ila hoja yako imekaa kwa kutazama mambo madogo ambayo hayana positive impact.

Ukiendelea hivi kuwaza mafanikio kwa style hii ni hatari
 
Ni profession inayotoa ajira aidha kwa kuajiriwa au kujiajiri, utofauti wake tu ni kwamba inabidi uwe wualified professional unaetambulika na bodi husika kwa kufaulu mitihani yao
Sijaelewa unataka kusema nini kwenye profession. Kwamba huwezi kufanya vizuri kwenye kujiajiri mpaka uwe professional?
 
Wewe quality ya maisha ni maeneo na sio MTU mwenyewe na malengo yake.

Nipo DSM Ila hoja yako imekaa kwa kutazama mambo madogo ambayo hayana positive impact.

Ukiendelea hivi kuwaza mafanikio kwa style hii utakufa masikini
Eneo wanaloishi watu sio mambo madogo madogo katika kujua uchumi wa watu,

Watu wanaoishi maeneo yenye mageti ya milioni 2 ni factor kubwa kujua kwamba wana maisha ya juu kuzidi sehemu ambazo hazina hata fensi
 
Biashara kwa bongo fanya iwe option ama uwe kwenye familia ambazo zina connections za biashara zilizofanikiwa
Mkuu,
weka scale za biashara unazo zunguumzia tujue..

Unazungumzia kiosk, duka la mangi, biashara ya juice ya miwa,kilimo Cha hand to mount N.K

Ama biashara formal au informal kampuni??? Fafanua mkuu..
 
Back
Top Bottom