school bus

A school bus is any type of bus owned, leased, contracted to, or operated by a school or school district. It is regularly used to transport students to and from school or school-related activities, but not including a charter bus or transit bus. Various configurations of school buses are used worldwide; the most iconic examples are the yellow school buses of the United States which are also found in other parts of the world.
In North America, school buses are purpose-built vehicles distinguished from other types of buses by design characteristics mandated by federal and state/provincial regulations. In addition to their distinct paint color (school bus yellow), school buses are fitted with exterior warning lights (to give them traffic priority) and multiple safety devices.

View More On Wikipedia.org
  1. Makamura

    Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  2. BigTall

    Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
  3. G

    Mkutano wa CCM Kawe, school bus, mabasi ya mikoani, madaladala nk. yametamalaki

    Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
  4. Black Opal

    Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
Back
Top Bottom