sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Shem kwani nawewe mpare? ? Basi wewe upo exeptional..
Last edited by a moderator:
usioe ndugu yangu they are not people...they are moneymaker chaggax
Kilimanjaro yote ni ya watu wenye tamaa na kutoridhika na maisha
Wewe hujakaa nao..
Shem kwani nawewe mpare? ? Basi wewe upo exeptional..
We oa tu lakini jiandae kuuliwa mapema watoto wenu wakishakua na kujitegemea. Kwa Mchaga we utakuwa chasaka tu hata ufanyeje. Wasikilize wazazi wako!
Hapana semeji, mie sio mpare bwana.
Pole sana,kaka ni bora uache tu maana hao watu ni kero.kubwa sana,utakuja kuchukua mzigo usioweza kabisa,na utatusumbua,kaoe sehemu nyingine,wengine tumeshaongea vyoo vya like kwa kuoua uchagani,kifupi ni pasua kichwa,
Wewe hata kuandila huwezi utamwoa mchagga gani?? Punguani wewe oa mmakonde mwenzio
Wewe hata kuandila huwezi utamwoa mchagga gani?? Punguani wewe oa mmakonde mwenzio
wao hawaoi bali wewe na hawajui preferences zako, ukiwafuata ipo siku hata ukioa huyo wanaemtaka watakucontrol hadi kwenye familia. Waelimishe tu mdogomdogo wako wazazi wa namna hiyo
usioe ndugu yangu they are not people...they are moneymaker chaggax
Chaga si wanawake wa kula,Fanya nao mpenzi tu then mwisho wa siku sepa