Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Hakuna anayelalamika, tunawashauri tu kuwa huko UN kiti ni cha Tanzania sasa suala limeshajadiliwa nyumbani? Hapo ndipo patakuwa na swali, kwamba mambo ya ndani yameshindikana? Kama yameshindikana ni kwa jitihada zipi, bungeni, vikaooni au vipi

Tunawatakia kila la kheri katika kuitafuta haki, hata hivyo haki inaambatana na ukweli

Madai ya kupata kiti ni madai ya kuvunja muungano. Hilo sina tatizo kama litaamuliwa na wananchi
Tatizo ni sababu zisizo na kichwa wala miguu ambazo nyingi leo tunajua ni uzushi tu dhidi ya Tanganyika
Kwamba, ZNZ inanyonywa kiuchumi! upi huo na nani anaweza kumkamua ng'ombe asiye na ndama
Unapo sema kuna kiti cha tanzania UN unajua maana ya tanzania?
 
Na kama ndugu hao wamerudi kuwa wamoja na kumtambua adui yao basi mwalimu anabaki na upuuzi wake.
Ndugu hao si wale waliotengeneza GNU au SUK? Mwalimu keshaondoka , wanafunzi ndio tatizo, hawaelewi jana walisema nini leo wanafanya nini ati, yakhe kwani imeanza leo? Kuanzia 1957 haya mambo tunayaona, kwako na umri ni mageni
 
Suala hili tusilichukulie poa hata kidogo, wakilivalia njuga wanaweza kutubwaga/kutushinda likawa Taifa linalo jitegemea kama lilivyo kuwa wakati wa ukoloni - msichukulie kimzaa mzaa petition iliyo wasilishwa UN inaweza kufungua a pandora box mkashangaa - nawambieni.
 
Some Birds Are Not Meant To Be Caged

Some birds are not meant to be caged, that's all. Their feathers are too bright, their songs too sweet and wild. So you let them go, or when you open the cage to feed them they somehow fly out past to you. And the part of you that knows it was wrong to imprison them in the first place rejoices, but still, the place where you live is that much more drab and empty for their departure

- Stephen King.​
 
Suala hili tusilichukulie poa hata kidogo, wakilivalia njuga wanaweza kutubwaga/kutushinda likawa Taifa linalo jitegemea kama lilivyo kuwa wakati wa ukoloni - msichukulie kimzaa mzaa petition iliyo wasilishwa UN inaweza kufungua a pandora box mkashangaa - nawambieni.
Ni kweli maneno yako ila wale wa lumumba fc hawatokuelewa
 
Kwanini UN na siyo Dodoma?
Iko wapi petition ya Wazanzibar iliyowakilishwa Dodoma, tukijua wana wabunge wao
Iko wapi petition iliyowasilishwa baraza la wawakilishi ikiwa ndani ya baraza ni wao peke yao

JokaKuu Mag3
Wabunge wakifika Dodoma tatizo mnawaandalia mafungu manono ndio maana hii petition imepelekwa UN 😀
 
Madagascar na comoro zilimegeka kutoka wapi kiasili?
Shuhudia
Pangea_animation_03.gif


P.
 
Nafikiri nchi zote duniani hazina haki ya kuwa sovereign states, zipokonywe viti vyao umoja wa mataifa, kwa sababu kiasili kumbe mabara yote yamemegeka kutoka Africa!
Sovereignty haitokani na asili ya nchi, bali mipaka ya kimataifa. Zanzibar iliisha surrender its sovereignty kwa Tanzania, you can't claim it now.
Pole.
P
 
Back
Top Bottom