Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.

  1. Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
  2. Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
  3. Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
  4. Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
  5. Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
  6. Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
  7. Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
  8. Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
  9. Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
  10. Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Rejea.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums

Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums

Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums

P.
Itategemea na jinsi walivyojizatiti kuidai nchi yao.
Tukumbuke leo kuna South Sudan iliyokuwa sehemu ya Sudan
 
Mkuu Chulubi, Its only posible kama zile kemikali ni vimiminika na zilipochangangwanywa zilitengeneza a mixture na zikamaitain their original chemical formulas, hivyo unatumia fraction distilstion, unachemsha kwa different boiling points, na kupitisha mvule kwenye condenses unakusanya, lakini kama two different chemical zime undergoes a chemical reactions na kuproduce a new compound, huwezi tena kuzi separate!. Huu ndio muungano wetu. Tanganyika ilikufa, Zanzibar nayo ikafa, ikazaliwa Tanzania!.
P.

Mkuu, any 2 substances mixed together can be separated. Kwaio hakuna icho unachosema kuwa eti huwezi kuseparate new compound formed.

Mfano, H na O. kwa pamoja zimeleta new compound ambayo ni H20, hii ni new compound na inaweza kuwa separated bila wasiwasi.

Tukichukulia hivo unavotaka wewe, katika Muungano wetu huu, element moja tu ndio imepotea, nayo ni Tanganyika, lakini element ya Zanzibar ipo palepale. Tanganyika haina muhimili wowote wa dola unaojua wewe, hauna rais, hauna bunge, hauna kikosi, kikubwa ina mawaziri ambao hawana rais!

Inatakiwa Zanzibar iwe na mamlaka kamili, na tanganyika iwe koloni letu kwa sababu hamuna serikali. Huu Muungano ukivunjika, Zanzibar tayari inaserikali na tanganyika itabaki taharuki, hajulikani rais nani wala waziri mkuu nani, jaji mkuu hajulikani, na ndio maana mnaung'ang'ania huu mungano kwa hofu ya kuchafuka kwa Tanganyika. Hata waziri mkuu hamuna, vyama vya upinzani vitajitokeza na kujipa mamlaka na fujo kuzuka. Majirani zetu Kenya, Uganda, rwanda na Burundi baada ya kuona kuwa Muungano umevunjika na tanganyika kutokuwa na serikali, basi kila mmoja atajimegea kipande chake kwenye ardhi ambayo haina muhimili wa dola, Tanganyika itakuwa free land for anyone to grab! 😀

Ukiachilia hofu nyengine mlokuwa nayo kama vile zanzibar kupiga hatua kubwa kimaendeleo, mna hofu juu ya usalama wa Tanganyika. Nani ataiongoza Tanganyika? kwa vile Muungano ukivunjika, Serikali ya JPM itakuwa kwishnei, haina mamlaka, ili kuokoa tanganyika, itabidi musalimu tanganyika kwa wazanzibari, na tena hapo kwa hekma zetu wazanzibar na busara na kw vile tunawapenda ndugu zetu, tunaanza process ya kuwatafutia serikali yenu wenyewe!

😀 sijui unaipata hii movie?
 
Mkuu sijakuelewa hapa
 
  1. Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.

P.
Tanganyika ndiyo iliyokua sehemu ya Zanzibar. nasivo hivo unavosema weye.
 
Mkuu sijakuelewa hapa
😀

Yaani Katika huu Muungano, Serikali ya Zanzibar bado imemaintain hadhi yake ndani ya Tanzania, wakati Tanganyika haijamaintain hadhi yake na imekufa kila kitu.

Ukivunjika Muungano leo, maana yake Rais JPM hana mamlaka, kwa sababu hana serikali, mawaziri nao hawana mamalaka kwa sababu hakuna serikali ya Tanganyika.

Vikosi vyote vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itabidi viwe null, kwa sababu hio Jamhuri haipo tena. Kila kitu cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kina cease to exist.

Wakati Zanzibar Muungano ukivunjika leo, rais tunae, mawaziri wapo, Mahakama ipo, Baraza la wawakilishi lipo, vikosi vipo.
Kwaio Zanzibar itakuwa stable kwa sababu tayari inakiongozi.

Tofauti na bara ambapo hakuna kiongozi sasa, hakuna order, nani atashika mamlaka ya nchi kihalali?

Tutaanza kuona machafuko bara kwa sababu sasa vikundi vinajitokeza kudai kuwa ndio viongozo wa nchi, huku kwenye vikosi nako kunatokea waasi ambao wanataka kushika wao dola. ilimradi Bara kutakuwa vururu kwa matatizo.

Majirani wanaona kuwa hii ardhi ambayo zamani ilikuwa inaitwa Tanganyika sasa haina mwenyewe, wanaanza kuingia na wao kutawala, mara unasikia kenya kaimeza tanga n.k The land will be open for anyone to come and grab kwa sababu hakuna uongozi!

Lakini haya yoooote yanaweza kuepukika, tukiuvunja leo Muungano, kwa vile Zanzibar ina serikali na Tanganyika haikuwa na serikali, itabid Zanzibar i step forward na kudeclare bara ipo chini ya Zanzibar. Itabidi ichukue command ya kila muhimili wa dola kuhakikisha majirani hawajimegei ardhi. Wakati huo watanganyika wanajipanga upya kuunda serikali nyengine kupitia uchaguzi ambao utasimamiwa na Zanzibar. Na atakapopatikana mshindi, basi Zanzibar itawapa uhuru wenu wa kuanza kujitawala as long as mshakuwa na serikali.
 
Muungano umezuia nini kwao?

Sasa hivi wanalalamika maziwa yanatozwa kodi. Wanalalamika magari na TV zinatozwa kodi
Bara ndilo soko lao na uchochoro unabanwa. Kama wana uwezo kwanini wasiuze Somalia na Djibout

Hivi wangekuwa mbali zaidi ya sasa ambako hawana bill hata za umeme, soko la ajira bure bara, ardhi n.k. Bara ndio wanawaweka maana idadi yao ikirudi znz ni shida!

Nini wanachochangia kiasi cha kudumaza uchumi wao

Kwani wamezuiwa kufanya kipi hadi sasa kiasi cha kuona hawawezi kuendelea

Hata sasa wanaweza kurudi kwao wakajenga nchi yao, hawalazimishwi kuishi bara

Kwanini hamuwaachii sasa? Kwanini munaendelea kuwang'ang'ania?
 
[emoji1]

Yaani Katika huu Muungano, Serikali ya Zanzibar bado imemaintain hadhi yake ndani ya Tanzania, wakati Tanganyika haijamaintain hadhi yake na imekufa kila kitu.

Ukivunjika Muungano leo, maana yake Rais JPM hana mamlaka, kwa sababu hana serikali, mawaziri nao hawana mamalaka kwa sababu hakuna serikali ya Tanganyika.

Vikosi vyote vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itabidi viwe null, kwa sababu hio Jamhuri haipo tena. Kila kitu cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kina cease to exist.

Wakati Zanzibar Muungano ukivunjika leo, rais tunae, mawaziri wapo, Mahakama ipo, Baraza la wawakilishi lipo, vikosi vipo.
Kwaio Zanzibar itakuwa stable kwa sababu tayari inakiongozi.

Tofauti na bara ambapo hakuna kiongozi sasa, hakuna order, nani atashika mamlaka ya nchi kihalali?

Tutaanza kuona machafuko bara kwa sababu sasa vikundi vinajitokeza kudai kuwa ndio viongozo wa nchi, huku kwenye vikosi nako kunatokea waasi ambao wanataka kushika wao dola. ilimradi Bara kutakuwa vururu kwa matatizo.

Majirani wanaona kuwa hii ardhi ambayo zamani ilikuwa inaitwa Tanganyika sasa haina mwenyewe, wanaanza kuingia na wao kutawala, mara unasikia kenya kaimeza tanga n.k The land will be open for anyone to come and grab kwa sababu hakuna uongozi!

Lakini haya yoooote yanaweza kuepukika, tukiuvunja leo Muungano, kwa vile Zanzibar ina serikali na Tanganyika haikuwa na serikali, itabid Zanzibar i step forward na kudeclare bara ipo chini ya Zanzibar. Itabidi ichukue command ya kila muhimili wa dola kuhakikisha majirani hawajimegei ardhi. Wakati huo watanganyika wanajipanga upya kuunda serikali nyengine kupitia uchaguzi ambao utasimamiwa na Zanzibar. Na atakapopatikana mshindi, basi Zanzibar itawapa uhuru wenu wa kuanza kujitawala as long as mshakuwa na serikali.

Asante sana kwa maoni yako though bado sikubaliani na the aftermath uliosema hapa in the event muungano utavunjika.
Kitakachotokea ni Zanzibar kuwa nchi huru na jamuhuriyah ya Mrima kuwa nchi kivyake
 
Asante sana kwa maoni yako though bado sikubaliani na the aftermath uliosema hapa in the event muungano utavunjika.
Kitakachotokea ni Zanzibar kuwa nchi huru na jamuhuriyah ya Mrima kuwa nchi kivyake
Kwa maoni yako wewe muungano umevunjika saivi, unahsi ni vipi watanganyika watalipokea hilo jambo?
 
Kwa maoni yako wewe muungano umevunjika saivi, unahsi ni vipi watanganyika watalipokea hilo jambo?

Kwa mtazamo wangu maisha yatasonga na itakuwa business as usual ingawa kutakuwa na adjustments kwenye government and its 3 branches of power;

The executive: JPM ataendelea kuwa head of state. Atateua mawaziri wapya kuziba nafasi za akina prof. Mbarawa

Legislative: wabunge wa Mrima wataendelea na majukumu yao

Judiciary: Chief Justice ataendelea na majukumu yake
 
Kuna kifungu chochote ambacho kwenye katiba ya URT inazungumzia mamlaka ya rais pindi Muungano ukivunjika?
 
Kuna kifungu chochote ambacho kwenye katiba ya URT inazungumzia mamlaka ya rais pindi Muungano ukivunjika?

I’m not aware
Siifahamu constitution ya URT kwa undani
May be wenye welledi mpana na mambo na sheria za katiba watatujuza

Je, kuna kifungu chochote ambacho kinazungumzia mamlaka ya Zanzibar pindi muungano ukifa?
 
Cha mzanzibari ni chake peke yake, Lakini cha mtu wa Tanganyika ni cha wote, Bunge lao hakuna mbunge toka Tanganyika anasogea, lakini bunge la Tanganyika kuna wabunge kibao toka Zanzibar kuna mapungufu kwenye kubalance Bunge, Pesa za kuendesha muungano zinatoka Tanganyika kwani pato la Zanzibar ni dogo sana haliwezi kulipa hata mishahara ya watumishi wao wenyewe, Pesa zote za kuwatunda na kuwahudumia zinatoka Hazina ya Tanganyika.

Sasa shida yote yanini hiyo? simuwaachie tu kwanini mujitie hasae?
 
Madai ya Tanganyika ni yapi? Tofautisha madai na hoja

Sina tatizo na wznz kufuata sheria, sina tatizo na kiti chao UN.
Ni tatizo na sababu za wazanzibar ambazo kila uchao hubadilika.

Zile za kunyonywa kiuchumi zimefilia mbali, zimefinyangwa finyangwa hakuna tena.
Sasa zimeiubuka za hati, kwanini hakuna hiki znz hakuna kile

Sababu za misaada nazo zimefilia mbali, kisema misaada unapaswa kuzungumzia madeni
Pamoja na hayo kuna hoja isiyojibiwa, katika muungano znz inachangia nini na kwa kiasi gani

Tafuteni sababu nzuri na kila la kheri, si kughilibu umma kuhusu muungano ambao basically una faida kwenu kuliko kwa Mtanganyika.

Sababu hazijabadilika sababu nihizohizo umekua ukiziruka tu.
 
Zanzibar tuacheni ubaguzi tunafikiri tukitenganisha zanzibar na tanganyika ndio tutapata maendeleo...wala! Hatutapata hamtaweza ndio maana rais wenu karume aliona kuwa kuna haja ya kuungana

Umoja ni nguvu kama kuna mahali hapako sawa tuparekebishe na sio kuua muungano

Sent using Jamii Forums mobile app

Karume alifikia darasa la 3. Haiwezekanwi kuwa watu wote waendeshwe na mawazo ya mtu mmoja tu, tena aliefikia darasa la tatu.
 
Katika jambo linalo muumiza pasco katika moyo wake ni Zanzibar kuwa huru hawezi kujizuwiya utaiyona tu rangi yake
Huyu jamaa sijiu tumemkosa nini maana ikitajwa zanzibar basi moyo wake unaumia

Isijekua wapemba walishamfanyia kitu kibaya !!!! mana wapemba duh !! hawaaminiki 😀😀😀
 
Naomba nielimishe
Aliwaua akina nani?

Mkuu nafikiri umeathirika kidogo na malezi ya ki CCM ya kumsifu Mwalimu Nyerere na Mzee karume. Hulaumiki wengi tumekulia mazingira hayo.
Karumu alikua ni Dictator wakiwango cha juu kabisa.
Alipoteza wanasiasa wingi tu waliojaribu kumkosoa au kuwahisi yeye mwenyewe tu kama ni tishio kwake.( Kassim Hanga, Twala, Mdungi Ussi, Jimmy Ringo, Sadalla, Othman Sharif) hawa karibu wote waliwah kuwa mawaziri. Babu alinusurika chupu chupu.
Alikua akilala na mwanmke anaetaka kinguvu kihiari, makuwadi wakiranda mitaani kumtafutia wanawake tena hata kama unamume ukishaambiwa unaitwa na mzee ndio uwende tu.
Maisha ya Zanzibar wakati wa utawala wake labda ukutane na wazanzibari wenyewe tu walioishi kipindi hicho ndio watakaoweza kukueleza viuri kwa ufasaha.
Watu waliishi na khofu kubwa mno, humalizi wiki unasikia jirani kakamtwa, au jirani kapotea.
Kuifupi jamaa hakua na mfano. Kiufupi Jiwe mchumba tu.
 
Back
Top Bottom