Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Wazanzibari kuwasilisha petition UN

wanzanzibari ni ndugu zetu hatuwezi kutengana nao hata iweje labda litokee ghalika kumbukeni tupo makini sana na muungano wetu kila mnachokifanya tunawachunguza kwa umakini sana
Umakini wenu ndio unaharibu huu Mungano,kwanini kumchunguze,kwanini msikae mezani na mkaanza kuyazumza,kuchunguza ndio mwanzo wa unafiki na kutoelewana...
 
Kuna Watu Wanasema Kama Muungano Unafaida Nying Kuliko Hasara Hasa Hasa Kwa Wazanzibar. Lkn Hebu Tujiulize, Kwanin Ukiugusa Tu Muungano Yanakukuta Ya Kukukuta? Rais Jumbe Aliugusa Muungano, Yalimkuta Ya Kumkuta, Masheikh Wa Uamsho Nao Waliugusa Muugano, Nao Yanawakuta Ya Kuwakuta. Kama Muungano Unawafaidisha Wazanzibar Mbona Wakiujadili Yanawakuta Mabalaa? Jee, Huu Muungano Unawafaidisha Wazanzibar Au Watanganyika?
Kanisa linalinda sera zake,kinachoogopewa kuvunjika kwa Muungano ni kuipa Zanzibar nguvu za kisiasa na za kidini,...kanisa linafanya kila hila kitu kama hicho kistokeee,..Serikali ya Tanzania haina dini,lakini kwa hili la kadhi serikali imekuwa na dini

Unakumbula mjadala wa kutaka Kadhi ulivyoibua mambo ya ajabu ajabu ya kidini,...wakati upande mmoja wa Mungano kuna Ofisi ya Kadhi lakini upande wa Tanganika umekataa kata kata jambo hilo lisiwepo, wanawanyima waislamu haki yao ya kiiimani..
 
Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.

  1. Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
  2. Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
  3. Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
  4. Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
  5. Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
  6. Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
  7. Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
  8. Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
  9. Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
  10. Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Rejea.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums

Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums

Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums

P.

Zanzibar Becomes a Member of the United Nations
 
Bunge ni la ccm na baraza la wawakilishi ni la ccm Hao wanataka serekali 2 kuelekea1 .
Wazanzibari sio ccm wao hawautaki muungano , sasa unawashauri wafanye nini ?
Kwahiyo ukiwa CCM , unapoteza Uzanzibar? Pili , mzanzibar ni nani?
 
Write your reply
Kwahiyo ukiwa CCM , unapoteza Uzanzibar? Pili , mzanzibar ni nani?
Ukiwa ccm hupotezi uzanzibar wako ila kwa anae ukana uzanzibar kwa kushiriki kuiangamiza zanzibar kupoteza mamlaka yake ambao wengi wao wapo ccm wakishirikiana na vibaraka toka tanganyika,na mzanzibar ni raia anaetambulika kwa katiba na sheria za zanzibar.
 
Brother, tusijitie upofu ilhali historia ipo wazi juu ya hili,Mara ngapi hata huku bara tukihoji Muungano kwa kupaza sauti unaingia kwenye matatizo.

Tusijitie upofu, kama madai yao ni ya msingi tuwape, kama madai yao si ya msingi tuwajibu tena kwa hoja tena huu mjadala unabidi ufanyike kwa wazi RAIA wote tuhushudie. Kwa nini tunakilazimisha hiki kisiwa? Kwa nini? Au mnaajenda ya siri? Tuambieni kama mnaajenda ya siri ili na sisi tufahamu.

Na kwa nini sisi tumekosa kiti UN mpaka tunatumia cha kwao? Tulipata Uhuru 1961 muungano ni 1964, kwa nini sisi tumekosa kiti? Nataka jawabu juu ya hili.
Katika watu wanaohoji sana mambo nipo

Msimamo wangu ni wazi, hata wakitaka kuondoka leo waondoke tu, nothing to lose
Tulishawapa mbinu wameshindwa kuzitumia sasa wanaibuki UN ambako balozi ni wa Tanzania

Tuliwaambia, wabunge waao wanaokuja Dodoma tena wakilipwa kwa kodi za bara wasije
Wamwite VP ambaye nafasi yake ni kutokana na Uzanzibar arudi nyumbani
Wale wanaokuja NEC n.k. wasije

Huko maofisini na kwenye biashara wafunge warudi kwao. Hadi hapo mambo yamekwisha

Kinachokera ni unafiki wa Wazanzibar wa kutumia sababu za Tanganyika kuficha mapungufu yao
Ukiwa CCM wewe ni wa kisiju umehamia znz. Ukiwa CUF wewe ni mzanzibar halisi.
Ukiwa na nywele za ukoka wewe umezaliwa Mkuranga, ukiwa na za Katani wewe ni mzanzibar
Usiposema mapinduzi daima wewe si mzanzibar

Hii hoja ya kiti UN maana yake ni kuvunja muungano.
Kwanini wahangaike huko wakati wanaweza kukaa baraza la wawakilishi wakapitisha hoja 100%

Hii ya UN ni unafiki tu baada ya hoja za Zanzibar kunyonywa kiuchumi kwishilia mbali. Tumeonyesha katika jamvi hili, in fact kiuchumi znz ipo katika mbeleko ya Bara.

Siku hizi hoja ya uchumi imekufa, wanajua ilikuwa ni uongo tu. Znz haiwezi kunyonywa na Tanganyika hata senti moja. Kutoka wapi kwa uchumi wa Bajeti moja ya wizara ya bara?

Wakitaka mafao wanatumia muungano, wakishapata ni mitusi tu juu ya muungano
Huu ndio umebeba wazanzibar wengi katika dunia. Wanaishi bila matatizo huku bara

Kama kuna matatizo wayamalize bila kutumia bara
 
Huo ni msimamo wako mtanganyika,ila kwa msimamo wangu mm mzanzibar tutafaata taratibu za kisheria kuupinga na kuukataa muungano huu wa mkubwa kumtawala mdogo kwa vitisho vya bunduki na vifaru.
 
Write your replyUkiwa ccm hupotezi uzanzibar wako ,na mzanzibar ni raia anaetambulika kwa katiba na sheria za zanzibar.
Sasa mbona unasema 'wamejaa CCM' hoja haiwezi kupita kwasababu huko ni 'Watanganyika'

Uzanzibar upo kwasababu Tanganyika ipo. Tanganyika isipokuwepo kuna kuangaliana nywele na rangi. Huu ni ukweli, popote walipo wazanzibar utauona dhahiri shahiri.

Kaeni BLW leteni hoja, ijadiliwe. Huko BLW hakuna Mtanganyika hata mmoja. Ongeeni wenyewe
Kama hamuwezi, UN ni kupoteza muda tu

Unajua wznz ni wagunduzi wazuri sana wa 'vijisababu' na wanaweza kuaminisha umma

Wanataka mamlaka kamili, leo wana idara yao ya kodi, wana wizara ya kilimo, wizara ya viwanda
Utashangaa wanalalamika eti maziwa ambayo yanaingia kupitia znz kwa uchochoro yanatozwa kodi bara. Hivi wizara ya kilimo si nje ya muungano! Yaani wanataka kupata soko la bara hawataki muungano. No way haiendi hivyo

Uchochoro wa magari na TV vimebanwa wanasema eti sisi ni nchi moja.
Nchi moja vipi wakati kuna mifumo tofauti. Chao ni chao, chako ni chao

Kaeni chini malizeni tofauti zenu bila kumsingizia Tanganyika.
Kuna tatizo kubwa msilotaka kulikabili, tatizo la nani ni Mzanzibar (identity)

Tatizo hilo lilianza na wale waliosema huyu ni wa bara kazaliwa mkuranga, Morogoro, huyu kwao ni Rufiji na Kisiju. Baada ya hapo wakajibiwa Machotara wandoke

Ndio maana nauliza, huko UN wameenda wazanzibar wapi, w wenye asili ya Rufiji, mapinduzi daima, mapinduzi haramu au Machotara?
 
Huo ni msimamo wako mtanganyika,ila kwa msimamo wangu mm mzanzibar tutafaata taratibu za kisheria kuupinga na kuukataa muungano huu wa mkubwa kumtawala mdogo kwa vitisho vya bunduki na vifaru.
Si kweli, na ukubwa ni fadhila kwenu. Si unaona mlivyostarehe kwenye mbeleko?
 
Sasa mbona unasema 'wamejaa CCM' hoja haiwezi kupita kwasababu huko ni 'Watanganyika'

Uzanzibar upo kwasababu Tanganyika ipo. Tanganyika isipokuwepo kuna kuangaliana nywele na rangi. Huu ni ukweli, popote walipo wazanzibar utauona dhahiri shahiri.

Kaeni BLW leteni hoja, ijadiliwe. Huko BLW hakuna Mtanganyika hata mmoja. Ongeeni wenyewe
Kama hamuwezi, UN ni kupoteza muda tu

Unajua wznz ni wagunduzi wazuri sana wa 'vijisababu' na wanaweza kuaminisha umma

Wanataka mamlaka kamili, leo wana idara yao ya kodi, wana wizara ya kilimo, wizara ya viwanda
Utashangaa wanalalamika eti maziwa ambayo yanaingia kupitia znz kwa uchochoro yanatozwa kodi bara. Hivi wizara ya kilimo si nje ya muungano! Yaani wanataka kupata soko la bara hawataki muungano. No way haiendi hivyo

Uchochoro wa magari na TV vimebanwa wanasema eti sisi ni nchi moja.
Nchi moja vipi wakati kuna mifumo tofauti. Chao ni chao, chako ni chao

Kaeni chini malizeni tofauti zenu bila kumsingizia Tanganyika.
Kuna tatizo kubwa msilotaka kulikabili, tatizo la nani ni Mzanzibar (identity)

Tatizo hilo lilianza na wale waliosema huyu ni wa bara kazaliwa mkuranga, Morogoro, huyu kwao ni Rufiji na Kisiju. Baada ya hapo wakajibiwa Machotara wandoke

Ndio maana nauliza, huko UN wameenda wazanzibar wapi, w wenye asili ya Rufiji, mapinduzi daima, mapinduzi haramu au Machotara?
Naona tunashindwa kufahamiana,unaposema wazanzibar wakae BLW waakilishi waamue je watanganyika wanakaa baraza lipi kuamua?
 
Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.

  1. Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
  2. Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
  3. Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
  4. Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
  5. Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
  6. Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
  7. Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
  8. Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
  9. Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
  10. Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Rejea.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums

Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums

Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums

P.
Naomba kuulizia maswali
1 Mfano inaondoka serikali ya ccm Tanganyika na kuingia Chadema halafu znz ikaingia Cuf hivi nani atamfata mwenziwe hapo wakati kila mmoja na sera yake?.
2 Mfano Bara ccm inashinda na znz Cuf inashinda jee huoni kama kutakuwa na kila mmoja na maono tofauti.
3 Muungano ukivunjika bara itakosa nini? Kuna nini kikubwa hata lazima kuungana na waznz? Mbona muungano wa east Africa ulikufa na Tanganyika haiku athirika na kitu?
4 Tuchukulie una mtoto wa kike lakini kila siku analalamika juu ya ndoa yake, kuwa kwenye mshahara wake unachukuliwa na mumewe. Hapati haki zake kama mke jee utampa ushauri abaki kwenye ndoa au ampeleke mumewe kwenye vyombo vya sheria na kuipata haki yake?.
5 Je wewe hutaki muungano uvunjike kwasababu kama ya Lukuvi au nini sababu yako kuu? Manake kila nikisoma comments zako juu ya muungano unakuwa mtu mwenye msimamo mkali sana.
 
Naona tunashindwa kufahamiana,unaposema wazanzibar wakae BLW waakilishi waamue je watanganyika wanakaa baraza lipi kuamua?
kwani mwenye madai ni nani? Si umesema Dodoma kuna Watanganyika, sasa BLW kuna Mtanganyika gani?
 
Wenye madai ni wazanzibar lakini cha ajabu hapo hapo mnatokea na nyie wadanganyika kutoa madai yenu bila ya kuyapeleka popote zaidi ya kuwapigia makelele wazanzibar wanaofata sheria kudai mamlaka yao yalioporwa na kiini macho cha muungano.
 
Back
Top Bottom