Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Wazanzibari kuwasilisha petition UN

Why its not possible claim the sovereignty which was there before?
Kwa sababu hiyo sovereignty has undergone chemical process ya chemical reaction kati ya compound mbili PRZ, na URT, na kuundwa kwa products mpya ya Tanzania.
P.
 
Kwa sababu hiyo sovereignty has undergone chemical process ya chemical reaction kati ya compound mbili PRZ, na URT, na kuundwa kwa products mpya ya Tanzania.
P.
hata H2O inaweza kuwa separated kuwa Oxygen mbali na Hydrogen mbali. Kwaio chemically speaking it is possible if they were joined together chemically 😀
 
hata H2O inaweza kuwa separated kuwa Oxygen mbali na Hydrogen mbali. Kwaio chemically speaking it is possible if they were joined together chemically 😀
Mkuu Chulubi, Its only posible kama zile kemikali ni vimiminika na zilipochangangwanywa zilitengeneza a mixture na zikamaitain their original chemical formulas, hivyo unatumia fraction distilstion, unachemsha kwa different boiling points, na kupitisha mvule kwenye condenses unakusanya, lakini kama two different chemical zime undergoes a chemical reactions na kuproduce a new compound, huwezi tena kuzi separate!. Huu ndio muungano wetu. Tanganyika ilikufa, Zanzibar nayo ikafa, ikazaliwa Tanzania!.
P.
 
Sovereignty haitokani na asili ya nchi, bali mipaka ya kimataifa. Zanzibar iliisha surrender its sovereignty kwa Tanzania, you can't claim it now.
Pole.
P
Usijibu kirahisi rahisi [emoji15] Hivi hukumbuki USSR walikuwa na viti vingapi un? Leo bado USSR un? Haya bana waswahili husema maskhara maskhara mbuzi kazaa na mama yake [emoji4]
 
Usijibu kirahisi rahisi [emoji15] Hivi hukumbuki USSR walikuwa na viti vingapi un? Leo bado USSR un? Haya bana waswahili husema maskhara maskhara mbuzi kazaa na mama yake [emoji4]
USSR ilikuwa ni Union of Soviet Socialist Republics, nchi zilikuwa na sovereignty zao, Sisi ni Union kamili, tumekuwa fused together into one!.
P
 
Ni ndoa ya mke Mmoja [emoji15]
Muungano wetu sio tuu ni ndoa ya mke mmoja, bali ni ndoa ya Kikatoliki!.

Tanzania ndie mtoto aliyezaliwa katika ndoa hii, huwezi kumchukua mtoto umgawanyishe kwa kumtenganisha sehemu ya baba na ya mama
 
Siku hizi hata Askofu amepewa MAMLAKA ya kutengua ndoa!
 
Ndoa za Katoliki zinaandikwa mbinguni.
Alichokiunga Mungu, binadamu hawezi kukitenganisha.
P

Yesu Alikaimisha MAMLAKA yake kwa KANISA [emoji117]
IMG_20180906_222648_577.jpg
[emoji4]
 
USSR ilikuwa ni Union of Soviet Socialist Republics, nchi zilikuwa na sovereignty zao, Sisi ni Union kamili, tumekuwa fused together into one!.
P
Huo mkataba wa muungano umeuona wapi? Usiseme kitu kwa hisia zako tu unatakiwa uwe na evidence mbele yako. Union kamili wakati mpaka miaka ya 90 Tanganyika wanakwenda Zanzibar kwa passport. Umeona wapi utoke Dar kwenda Kigoma kwa passport?

Nyerere wakati huo yuko hai na Karume keshauwawa, mbona hakuweza kuiondoa hiyo? Wewe unajuwa zaidi kwa hiyo kuliko Nyerere mambo yaliyomo kwenye mkataba wa Muungano kisheria?
 
Zanzibar tuichukie kwa lipi?, tena laiti mngalijua...
P.
Pascal; hakuna thread hata moja ya kutetea haki za msingi za Wazanzibar uliyoonesha support. Chuki zako ziko wazi hsta ukatae vipi?

Hamna cha laiti.... Ni vitisho vyenu tu hivyo vya kila siku tushavizowea haviwezi kutubabaisha.

Sasa utakataaje kitu kilichoundwa na pande mbili upande mmoja ukiamua basi, unashikilia mambo ya irreversible chemical reaction? Nyie ndio muna imani mke wangu hawezi niacha baadae unabaki kulia!

As long as muungano umejengwa na nchi mbili tofauti basi usjipe guarantee utabakia hivi milele.

Mimi ni shabiki mkubwa wa muungano huu, lakini kubali ama ukatae, muungano wetu huu una madhaifu mengi sana na yanahitaji marekebisho zamani tu!
 
Wakautafute mchanga wa agano baharini sijui kama wataweza kuupata kisha kuutenganisha wa bara na visiwani, alafu wapeleke petition Butiama.
 
Back
Top Bottom