masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,560
- 20,098
huwa sipendi matusi ila hii coment ipigwe pinIla mtu mweusi ni afadhali ya nyani kwa ustaarabu, kwanini usiridhike na kiwango chako? Ndiyo maana wanaume mnafirwa siku hizi
Na si ajabu aja wai ipanda ila kakaaa kawaza ivyo tu kaamaua ashushe uzi
Ilikiluwaje yakaibuka makundi ya wahuni kama YakuzaWajapan wana moyo wa Kizalendo sana, wakati nipo Kenshu Japan kwenye Jiji la Tokyo kuna Wabongo tulikuwa nao Kenshu wana tabia kama za hili jingajinga,
Wakati wa kupita kwenye gate za kuingia kwenye platform za kupanda treni ni miaka mingi wameendelea hakuna mtu unascan tu kadi, sasa kukawa na mchezo wa kadi moja ukiscan mnaweza kupita wote kuna Mjapan raia mwema aliona alikomaa mpaka wote wasiokuwa kadi walikwenda kununuwa kadi ndio wapite kupanda treni na hiyo tabia ilikoma siku hiyo, imagine hapo hakuna security wala nini zimewekwa electronic mashine mjiongoze wenyewe, wenzetu wana kiwango cha juu sana cha ubinadamu na wanawalea watoto hivyo.
Uzamiaji upo karne na karne labda kama umeanza kusikia hizi mbanga na hii SGR ya Mjomba jiweHii ilikuwepo/ipo ata reli ya TAZARA.... Sasa siku ukikutana na TT mzambia ndo utaelewa show wale jamaa wapo kikazi
Wewe mbona unapigwa mit na huna tamaa?huwa sipendi matusi ila hii coment ipigwe pin
yaani tamaa alafu huna uwezo kweli utapigwa miti
kampuni ina mengi ya kujiongeza aiseeUnalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai
USHAURI: fukuzeni wale staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria ascan mwenyewe tiketi, Kama feki geti lisifunguke (KUINGIA (point of origin & KUTOKA-final destination). Hapo ndio mtaona pesa. Vinginevyo Dar-Dom mnasafirisha watu bure na kuwapa chai mule BUSINESS na Royal bila kujua.
****Msipokee cash. Ndio mlango wa tamaa
Pascal Mayalla
acha kukurupuka mshamba wa USAIlikiluwaje yakaibuka makundi ya wahuni kama Yakuza
Tutawarekebisha hawa wapumbavu waliotuharibia nchi mpaka leo hatuna vyoo mashuleni halafu anajisifu kunya kichakani na kujichenyenta na makalamataKitu amepata mtoa mada ni tofauti na alicho kitegemea
Sasa nida inazuia nini?Ndio maana waliweeka Mfumo wa NIDA.
wafu walikuwa wanatoa Nauli ya Pugu,.wanaenda hadi Dodoma.
Hahaha umenikumbusha Uncle Ruckus (No Relation)Never relax around blacks
1. Sasa utamrekebisha mtu mmoja katika maelfu? Badala ya kuchukua alichoshauri kwa kuweka mfumo imara.Tutawarekebisha hawa wapumbavu waliotuharibia nchi mpaka leo hatuna vyoo mashuleni halafu anajisifu kunya kichakani na kujichenyenta na makalamata
Wabongo kwa ujuaji kwa vitu ambavyo walipaswa kuweka system za kupunguza ulaji. Unakuta watu watano na ASKARI ZIMAMOTO wanakagua tiketi kila stesheni (nonsense)wabongo kwa roho mbaya bhana, sababu ya kumshambulia mleta mada ni ipi kama sio husda na roho mbaya? mnapata hasara gani yeye kwenda Dodoma kwa less the price? nonsense.!!
Tabia za wizi, utapeli na ufisadi tunafundishwa na kuzoeshwa na watawala wetu.Waafrika ni ngozi ya kuonea huruma sana, umekata tiketi ya economy, unazamia business, ili iweje? Kwa nini usiishi kulingana na ulichonacho?