Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

CAG sio member wa bunge. Thats why bunge halina power juu yake.
Angekuwa mbunge ingekuwa rahis sana, unamfuta uanachama chap.

Lakin kwa vile ameteuliwa na rais, na cheo chake si cha kisiasa kumtoa si rais.
Only rais ndio mwenye ufunguo.
Ataondoka tu .....alidhalilisha Bunge na yeye anategemea Bunge ktk kutekeleza majukumu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
makapi katika ubora wenu.leo spika akibadilisha kauli mtapongeza km mazombi,leo magufuli akusema Prof Assad piga kazi mtakuja na kumsifu Assad.Hamjulikani mnasimamia nini siku zote.Hamuelewki nyuma wala mbele.Zimepotea 1.5 trilion na spika amekalia hoja hataki kupeleka ripoti hiyo kwa kamati ya bunge ili hatua zichukuliwe hilo hamuoni kazi ni kuwashwa kusifu na kufuata upepo.Assad ana hoja.Leo hii dunia iko kiganjani hata angesemea kule Mahuta Shimoni au Tunduru dunia ingejua tu.Eti alisemea nje ya nchi ni upeo mdogo san wa kufikiri.Mnahisi nyie vilaza mnafikiri kwa usahihi kuliko CAG.
 
Hajadhalilishwa mtu. Bali ameambiwa ukweli.
Tukubal tu kuwa bunge sio perfect muda wote. Kuna nyakati wanavurunda.
Jifunzen kuupokea ukweli japo unauma

Sent using Jamii Forums mobile app
Akisema JPM watu tukilalamika,hawahawa wanasema kuwa tatizo watz hatujazoea kuambiwa ukweli mchungu,kwamba zama zimebadilika!!!Haya sasa,na bunge liupokee huo ukweli mchungu!
 
Oh yes nimeshawi kusikia sana tu. Eg. America since trump aingie. Waekuwa wakiponda baadhi ya maamuzi ya serikal yao. Hata wale viongoz wa juu.. wamediriki kumponda mpaka rais na taasis yake.
Ndio kusema hawakosei ?
Hivi do u ever heard them too came in our country or any other and express their weaknesses ? Hii itakua kama kina lissu mara ntakua live ktn mara kwa Obama yani tuko tayari hata kuvunja kabati kumtafu cocroach so sad

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom