tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,494
Mdomo wake ndiyo umemponza na heshima yake kushuka kwa kuivua nchi nguo ughaibuni.....arudi kuhojiwa huo udhaifu wa Bunge maana yake ni Nini..... otherwise hicho kiti atakiacha mchana kweupe.makapi katika ubora wenu.leo spika akibadilisha kauli mtapongeza km mazombi,leo magufuli akusema Prof Assad piga kazi mtakuja na kumsifu Assad.Hamjulikani mnasimamia nini siku zote.Hamuelewki nyuma wala mbele.Zimepotea 1.5 trilion na spika amekalia hoja hataki kupeleka ripoti hiyo kwa kamati ya bunge ili hatua zichukuliwe hilo hamuoni kazi ni kuwashwa kusifu na kufuata upepo.Assad ana hoja.Leo hii dunia iko kiganjani hata angesemea kule Mahuta Shimoni au Tunduru dunia ingejua tu.Eti alisemea nje ya nchi ni upeo mdogo san wa kufikiri.Mnahisi nyie vilaza mnafikiri kwa usahihi kuliko CAG.