mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Amelivua bunge sio nchi!Sikufai kwako kwa kuendeleza kuivua nchi kimataifa.hilo hatuwezi kuwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amelivua bunge sio nchi!Sikufai kwako kwa kuendeleza kuivua nchi kimataifa.hilo hatuwezi kuwa pamoja.
Exactly,as long as its the truth!Halafu ni mapungufu ya bunge na serikali na wala si nchi wala taifa!Which patriotic you spoken at....? Kusimama mbele ya nchi za watu na kueleza mapungufu ya nchi yako. ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu!Huyu hawez kufanya kazi na dramatic leadership ya akina jiwe.Mchana wanaimba uadilifu usiku wanaimba mapambio ya kuwaibia watanzania kwa matumizi ya ovyo
Ukweli unauma Pole sanaHuwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Bunge ni nchi.... nadhani hulijui hilo
Hakuna ukweli hapo CAG kuna Jambo analitafuta.....na atalipata tu soonUkweli unauma Pole sana
Jaribu kuficha upumbavu wako humu.Acha kugeneralise nchi na upuzi wa mtu mmoja mmoja kama lindugai yaani anatia aibuBunge ni nchi.... nadhani hulijui hilo
Bunge sio nchi na haitakuja kuwa nchi!Bunge likivunjwa,na nchi inakuwa imevunjwa?Jaribu kutofautisha kati ya nchi na serikali/bunge/Mahakama!Bunge ni nchi.... nadhani hulijui hilo
Au yule mama mkurugenzi wa tafiti za tiba aliyetumbuliwa na JPM,sasa yuko WHO!Mukimfukuza kazi World Bank watamchukuwa na kuwa Head wa Financial Inteligence Unit wa Africa nzima. Mpigeni tu teke chiura!
Inanikumbusha sakata la mwanasheria mkuu wa Zanzibar, matokeo yake akaja na jopo la UN kusimamia uchaguzi wa Jecha. Na sasa yupo kwenye jopo la watu 6 wanaosimamia Ethics za UN!
Ukijiheshimu unaheshimiwa tu mkuuHeshima kitu cha bure mkuu.
Kuonana nae na kumueleza ukweliMfanye nini?! Mnaye mtetea kesha fika Dodoma anafanya taratibu kuonana na Speaker
Ukisahau miongozi ya kazi, unashughulikiwa bila ya kuangalia wasifu wako una ukubwa kiasi gani.Ukijiheshimu unaheshimiwa tu mkuu
Bunge ni nchi wewe hujui wananchi wote wako Bungeni kupitia wawakilishi wao...Bunge sio nchi na haitakuja kuwa nchi!Bunge likivunjwa,na nchi inakuwa imevunjwa?Jaribu kutofautisha kati ya nchi na serikali/bunge/Mahakama!
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia