Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Oh for the record yesbaadhi ya viongoz wa america wamewahi kukusoa nchi yao hata wakiwa ndani. Tena huenda kuwa kesi zao zikawa worse that zakwetu.
Maturity ni kitu kizuri sana.. ila kufumbia macho baadhi ya mambo si kitu kizuri.

Ntakupa mfano wa mwandishi mmoja. Anaitwa pascal mayalla, aliwahi kukosoa bunge akiwa ndani, matokeo yake akaitwa kwenda kujieleza.. na huyo ni normal citizen.
Cag alichosema ni ukweli.. yes kuna madhaif ya muda mrefu, but why spika ali react unprofessinal.. as if kaibiwa mke.?

Angestay calm, amtafute Cag aongee bila kuweka media attention.
Kwangu hili suala si kubwa sana.. wangeweza limaliza kimya kimya.. but ndugai alivyo alika media. Jambo hili limekuzwa sana
Ulisha skia wameenda kwenye mikutano ya kimataifa wakafanya hivo.....wao wanakosoa sana wakiwa kwao.....alafu pia wao ni great national tofauti na sisi 3rd world country ukiongea hivi kwao unafanya hata watu wasio ijua tz waijue kwasababu coz biological people attracted to abnormal situation kuliko normal issue.....nikupe mfano most of children in Japan believe there is only maasai and wild animal in Africa hii kwa sababu tukienda sehemu ambazo diaspora inatutazama tunapeleka utamaduni wa asili also we preaching about wild life but we forgot to show our maturity in development in both life cycle social technological and political too so mkienda kwa watu jaribuni kusifia nyumbani hata kama ni kichakani. ....hata mwanamke anae toa siri za ndoa yake kwa majiranj sio mke mwema huyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli = tudharau. According to your theory
Pascal alionywa hata hujui umeshasikia Pascal akiongea kuhusu Bunge Tena....Huwezi kutoa dharau hadharani kwa Bunge then ukaachwa tu....dharau hazikubakili .....maoni sawa changamoto sawa lakini sio dharau Kama huyo CAG wako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio ukisema world wide unafaidika na nini kama sio kutaka kulishusha heshima taifa lako kwasababu ya feelings zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio taifa bali serikali husika!Hii inaweza saidia kwa viongozi kuchukua hatua kubadili taswira hiyo!
As long as ni ukweli,mi naunga mkono kabisa!
 
What I intend to tell u ni issue ya kutuanika nje kuhusu mapungufu na emotional reaction ya ndugai am agree with u binafsi sikupendezwa but i condemn prof Assad kwa kuaniaka nje mimi huwa sipendi nchi yangu kuzungumziwa kwa mabaya hata kama yapo in front of extruders
Oh for the record yesbaadhi ya viongoz wa america wamewahi kukusoa nchi yao hata wakiwa ndani. Tena huenda kuwa kesi zao zikawa worse that zakwetu.
Maturity ni kitu kizuri sana.. ila kufumbia macho baadhi ya mambo si kitu kizuri.

Ntakupa mfano wa mwandishi mmoja. Anaitwa pascal mayalla, aliwahi kukosoa bunge akiwa ndani, matokeo yake akaitwa kwenda kujieleza.. na huyo ni normal citizen.
Cag alichosema ni ukweli.. yes kuna madhaif ya muda mrefu, but why spika ali react unprofessinal.. as if kaibiwa mke.?

Angestay calm, amtafute Cag aongee bila kuweka media attention.
Kwangu hili suala si kubwa sana.. wangeweza limaliza kimya kimya.. but ndugai alivyo alika media. Jambo hili limekuzwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokras
mkuu unatumia kiungo gani kufikiri unaonekna kilaza kabisa hivi ni ipi kwa Mtanzania kati ya bunge lisilowajibika hatimaye ubadhirifu kuendelea na kusema aibu za nchi hii nje?. mtanzania anapata hasara gani bunge likiambiwa ukweli acha ujinga vijana mliosomeshwa na malipa kodi kemea ubaya wowote unaowaathiri watz
 
Sio taifa bali serikali husika!Hii inaweza saidia kwa viongozi kuchukua hatua kubadili taswira hiyo!
As long as ni ukweli,mi naunga mkono kabisa!
Hata mm pia nakubaliana na alicho sema prof ila sikubaliani na njia alio itumia. ...
Ila jifunze kutenganisha kati ya hisia na uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm pia nakubaliana na alicho sema prof ila sikubaliani na njia alio itumia. ...
Ila jifunze kutenganisha kati ya hisia na uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ameshatumia njia nyingine mara ngapi?Ukiona mtu si muongeaji wa hovyo hovyo,ukiona siku kaongea basi ujue limemchosha!
 
ungeeleza hiyo hatar ili nasi tujue.kuna hatari kubwa kwa nchi zaidi ya mtu mmoja kutafsir maendeleo ya watu ml 50?
Neno tu dhaifu linapotolewa na mtu Kama CAG lina impact kubwa Sana kimataifa as sasa nchi inaendeshwa kienyeji tu haina udhibiti wowote wakati Rais ana kazi kubwa kuhakikisha Watumishi wanafuata sheria na taratibu na hakuna wa kuchezea mali ya umma kwa faida yake binafsi na familia yake Kama walivyozoea.....huyo CAG ataeleza alikuwa na maana huko nje na Nini dhumuni lake kuyaongea hayo...
 
utapata na utatumia nguvu kubwa sana ku justify japo hakuna alipokosea huyo Asad. yeye anakagua bunge kama halijadili na kushauri hapo bunge ni dhaifu.
kama mnadhani uzalendo ni kuvaa mibendera mnakosea.asad ni mzalendo hasa
 
Serikali ya makanikia a.k.a awamu ya tano kutisha nyinyi.kuiba matilioni nyinyi,kuteka,k...a,kuf ...a kwenye viroba nyinyi,kufungulia watu kesi za uonezi za uhujumu uchumi,kuita watu kwa pingu nyinyi.kazi maendeleo mtazifanya saa ngapi.
 
What I intend to tell u ni issue ya kutuanika nje kuhusu mapungufu na emotional reaction ya ndugai am agree with u binafsi sikupendezwa but i condemn prof Assad kwa kuaniaka nje mimi huwa sipendi nchi yangu kuzungumziwa kwa mabaya hata kama yapo in front of extruders

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hupendi izungumziwe kwa mabaya. No body anapenda azungumziwe vibaya kwakweli. But this is not the first time assad amefanya hili, na yeye si wa kwanza. Tatizo ni kuwa watu wakisema haya wakati wako ndani ya nchi.. spika anachimba biti halaf maon hayafanyiwi kazi, tunarudi square 1, how long and how many people will repeat the same action until bunge lirekebishe?

I think maybe assad ameteleza..lakin pia bunge lijiangalie upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno tu dhaifu linapotolewa na mtu Kama CAG lina impact kubwa Sana kimataifa as sasa nchi inaendeshwa kienyeji tu haina udhibiti wowote wakati Rais ana kazi kubwa kuhakikisha Watumishi wanafuata sheria na taratibu na hakuna wa kuchezea mali ya umma kwa faida yake binafsi na familia yake Kama walivyozoea.....huyo CAG ataeleza alikuwa na maana huko nje na Nini dhumuni lake kuyaongea hayo...
Udhaifu wa bunge uko wazi,CAG ana data za haya:
-Seeikali kutumia fedha nje ya bajeti na idhini ya bunge(huu ni udhaifu mkubwa hasa pale bunge linapofyata mkia)
-Serikali kukopa bila idhini ya bunge
-Serikali kubadili sheria na kuitumia sheria kabla hata bunge halijaidhinisha mabadiliko hayo(rejea korosho),serikali ilichukua fedha za korosho kabla hata mabadiliko ya sheria hayajafika bungeni!Kwa maana hiyo,serikali ilijua lazima bunge likubali!Hii inamaana serikali imelishika bunge!
-Bunge kushindwa kuchukua hatua juu ya mapungufu anayoyaonesha CAG kwenye report zake!
-Rais kumpa maelekezo Spika ya nini aende kufanya bungeni na spika kutekeleza agizo hilo!Rejea alipomwambia akawatoe wabunge wa upinzani ili aje awashughulikie uraiani!
Nk
Kwa hoja hizo,bunge ni goigoi!
 
Back
Top Bottom