Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Uhuru wa kujieleza ni kisingizio??
 
Kwahiyo maneno aliyoongea ni sahihi.ataeleza huo udhaifu wa Bunge ktk kamati ya maadili ya Bunge.Kama amekuwa mwanasiasa aseme tu tumuondoe kwenye U CAG
Unamwondoa kwa kutumia kifungu kipi cha katiba. Nyie ndo mnatuharibia chama sijui mnatokea wap
 
Kwahiyo maneno aliyoongea ni sahihi.ataeleza huo udhaifu wa Bunge ktk kamati ya maadili ya Bunge.Kama amekuwa mwanasiasa aseme tu tumuondoe kwenye U CAG
umwondoe nani wewe pompolilo popoma?????
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia

Eti kumbe si "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" na ukweli utakuweka huru; au hiyo ni haki ya Rais peke yake?! Let truth be said!
 
Ataondoka tu .....alidhalilisha Bunge na yeye anategemea Bunge ktk kutekeleza majukumu yake
sasa kama bunge limeshindwa kutekeleza majukumu yake siku zoote unafikiri alitakiwa asifie tuuu uongo na ujinga???
shtuka wewe acha kutumikia chooo kufikiri tumia akili
 
na wewe komaa tuuu na ujinga wako ila moyo unakusuta kwa unachokitetea!!!
na utalaaniwa wewe na uzao wako kwa kupishana na akili yako sababu ya tumbo lako
Laana ni za kwako hizo....dua la kuku halimpati mwewe.....CAG wako hajafanya vema kulidhalilisha Bunge nje ya nchi.
 
Nionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri!

#Assaditembeakifuambele

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.​

Theodere Roosevelt

Classic....

Count me in....

Fvck em cockroaches!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam madikteta ndivyo walivyo! Wakati Assad hajaliibia Taifa hata senti moja ukilinganisha na huyo fisadi na mwizi aliyekwapua nyumba za serikali na kununua kivuko UOZO kwa bilioni 8.

Unajua fika anayestahili kuvalishwa pingu ni dikteta magufuli na si CAG.



Asipotii atakwenda kwa pingu....
 
sasa kama bunge limeshindwa kutekeleza majukumu yake siku zoote unafikiri alitakiwa asifie tuuu uongo na ujinga???
shtuka wewe acha kutumikia chooo kufikiri tumia akili
Uwajibikaji gani aliutaka yeye wakati kila kitu kina taratibu zake na yeye anajua na taratibu zinafuatwa ktk ripoti yake.
 
Kwahiyo maneno aliyoongea ni sahihi.ataeleza huo udhaifu wa Bunge ktk kamati ya maadili ya Bunge.Kama amekuwa mwanasiasa aseme tu tumuondoe kwenye U CAG
pascal Mayalla alienda kueleza udhaifu wa bunge,mpaka sasa yuko huru na hakuna walichomfanya!
 
Back
Top Bottom