Canivor
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 108
- 102
KabisaUmetumia lugha kali ila he deserves it!
KabisaUmetumia lugha kali ila he deserves it!
Bunge ni chombo Cha wananchi.....anakidhalilisha hadharani anataka Nini.Hatari yake iko wapi?
Hata kama Uhuru wa kujieleza upo lazima ujue unaongea Nini na wapi na kwa lengo gani
Okpascal Mayalla alienda kueleza udhaifu wa bunge,mpaka sasa yuko huru na hakuna walichomfanya!
Haya rudia Tena....Ukweli lazima usemwe,bunge ni dhaifu!
hivi unadhani wewe Pr. Assad nani anaakili timamu na nani anajua taratibu za kushughulikia report zake??Uwajibikaji gani aliutaka yeye wakati kila kitu kina taratibu zake na yeye anajua na taratibu zinafuatwa ktk ripoti yake.
Bunge ni dhaifu!Haya rudia Tena....
na wewe komaa tuuu na ujinga wako ila moyo unakusuta kwa unachokitetea!!!
na utalaaniwa wewe na uzao wako kwa kupishana na akili yako sababu ya tumbo lako
Well said mkuu,spika badala ya kujibu hoja amebwabwaja tu!Kwa kauli yake imedhihirika kuwa ni kweli bunge ni dhaifu!hivi unadhani wewe Pr. Assad nani anaakili timamu na nani anajua taratibu za kushughulikia report zake??
kwanza press ya spika umeona akijitetea kwa logic zaidi ya kusema amezalilishwa nje ya nchi?? je alijitetea hata kwa mfano wa hoja halisi kwa alilowajibisha serikali kwenye bunge lake?? anaweza kuji compare na mabunge ya wenzake yaliyopita kweli???
ndugu kwa upendo tuu nakuomba hata kama ni chama plz be there for your country huo ufisadi wanaofanya wenzako hautokusaidia any more ita jaza laana kwenye uzao wako tuu
MAANDAMANO KUMUUNGA MKONO ASAD PROFESA, MAFISADI TUPA KULENionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri!
#Assaditembeakifuambele
Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.
Theodere Roosevelt
Mbona unapenda sana mambo yalaana.....who is Assad so mwanadamu tu kwani hakosei..... Alichokifanya huko nje siyo kabisa kwa rank yake....anamtangazia Nani huko nje na ili iweje kwa faida ya Nani....pamoja na uprofesa wake but hakikubaliki.hivi unadhani wewe Pr. Assad nani anaakili timamu na nani anajua taratibu za kushughulikia report zake??
kwanza press ya spika umeona akijitetea kwa logic zaidi ya kusema amezalilishwa nje ya nchi?? je alijitetea hata kwa mfano wa hoja halisi kwa alilowajibisha serikali kwenye bunge lake?? anaweza kuji compare na mabunge ya wenzake yaliyopita kweli???
ndugu kwa upendo tuu nakuomba hata kama ni chama plz be there for your country huo ufisadi wanaofanya wenzako hautokusaidia any more ita jaza laana kwenye uzao wako tuu
Kibali hakiwezi kupatikana!MAANDAMANO KUMUUNGA MKONO ASAD PROFESA, MAFISADI TUPA KULE
Shida ni kusema akiwa nje au ni kile alichokisema?Tuanzie hapo!Mbona unapenda sana mambo yalaana.....who is Assad so mwanadamu tu kwani hakosei..... Alichokifanya huko nje siyo kabisa kwa rank yake....anamtangazia Nani huko nje na ili iweje kwa faida ya Nani....pamoja na uprofesa wake but hakikubaliki.
Trump vipi, mbona hamkumjibu?Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Kama ni dhaifu unataka aseme ni imara?Huu unafiki unatoka wapi?Hata imani zetu za dini zinakataza kusema uongo!Bunge ni chombo Cha wananchi.....anakidhalilisha hadharani anataka Nini.
Anatumika na mabeberu eti?CAG alichokifanya nje ya nchi hatari kwa nchi.
Mfanye nini?! Mnaye mtetea kesha fika Dodoma anafanya taratibu kuonana na Speaker
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia