Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Nionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri!

#Assaditembeakifuambele

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.​

Theodere Roosevelt
#IstandWithProfAssad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Issue hii ni kati ya Ndugai na Assad, sio Assad na Serikali! Serikali ni mihimili yote mitatu pamoja na CAG.
 
Issue hii ni kati ya Ndugai na Assad, sio Assad na Serikali! Serikali ni mihimili yote mitatu pamoja na CAG.
Ukitamka baya kuhusu Bunge umetamka baya kwa Serikali and likewise
 
Ukitamka baya kuhusu Bunge umetamka baya kwa Serikali and likewise
Ndio,Bunge ni dhaifu kwasababu linailinda serikali badala ya kuisimamia!Ndio maana Lumumba mko busy kulitetea bunge mkisahau kuwa CAG ni sehemu ya serikali!
 
Ndio,Bunge ni dhaifu kwasababu linailinda serikali badala ya kuisimamia!Ndio maana Lumumba mko busy kulitetea bunge mkisahau kuwa CAG ni sehemu ya serikali!
Hatetewi mtu Wala kitu....ila hatupendi dharau kwa mamlaka yoyote
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Ningefurahi kama Mods wangeruhusu wachangiaji wote wawe na taalauma ya uhasibu/fedha otherwise kilaza kama wewe kuchangia ni kuaibisha taaluma zetu kabisa. Yaani bunge kama ni dhaifu Prof. aseme lipo imara? Shame on you na manyumbu wa aina yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningefurahi kama Mods wangeruhusu wachangiaji wote wawe na taalauma ya uhasibu/fedha otherwise kilaza kama wewe kuchangia ni kuaibisha taaluma zetu kabisa. Yaani bunge kama ni dhaifu Prof. aseme lipo imara? Shame on you na manyumbu wa aina yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lala vizuri kwakupenda kutukana maana ndiyo furaha na fani yenu.....mhasibu gani una matusi tofauti yako wewe na matejani ipi sasa.....kuwa na busara....CAG asipotii amri atakwenda kwa pingu.Unapenda hupendi ndo amri imetolewa.
 
CAG hakuwa akitoa hotuba bali alikuwa akijibu swali au hoja. mfanao mtu akiulizwa huko nje vipi hali ya demokrasia nchini kwako? bila shaka atajibu kulingana na uelewa na mtizamo wake. CAG alijibu kulingana na swali na mtizamo na uzoefu alioupata kutokana na kazi yake. Au labda angevika kanzu juu ya suti ili kufunika kombe... na hivo hii suluba isingemkuta. Wengi wanafunika kombe CAG hakuweza. ndivo tulivo kwa hiyo hamaki hii ni sawa tu!
 
Tuna CAG Mwenye weledi , mzamivu, Mbobezi haijawahi tokea tangu Uhuru!
Na added advantage alonayo ni kuwa " Mcha Mungu"
Ana Hofu ya Mungu!
Tungemtumia vizuri huyu tungeweza kupiga hatua kubwa Kama Taifa kwa manufaa yetu sote!
Ikiwemo mapitio na maboresho ya mifumo mbalimbali inayohusiana Na matumizi ya fedha za umma!
 
Back
Top Bottom