BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,337
Anayeivua nguo nchi ni huyu dikteta hadi nchi za wafadhili zimeamua kukata misaada.
Ulitaka aseme uongo na kulisifia Bunge UCHWARA kwamba linafanya kazi zake ipasavyo!?
Akili za wapi hizi za kuupinga ukweli? 😳
Nchi kama inavuliwa nguo hadharani wa kulaumiwa si msema kweli.
Ulitaka aseme uongo na kulisifia Bunge UCHWARA kwamba linafanya kazi zake ipasavyo!?
Akili za wapi hizi za kuupinga ukweli? 😳
Nchi kama inavuliwa nguo hadharani wa kulaumiwa si msema kweli.
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia