Wawili wauawa Arusha

Wawili wauawa Arusha

Kwani hizi Panone si ni mali ya Riz1? Au ndio kafa?

Huwa kuna matajiri wanaomiliki makampuni kama pazia, halafu kuna wamiliki nyuma ya pazia. aliyekufa kama ni kweli atakuwa pazia tu.
kwa Riz1 hakuna risasi inaweza kumwua. hata ya kumwua tembo haiwezi, labda bomu lenye uzito wa tani 30 ndo inaweza kumbabatiza
 
Siyo yeye nimeshuhudia maiti ikipakiwa kwenye defender ya polisi.

Waliouwawa ni wawili aliekuwa kwenye rav 4 na fundi aliekuwa amevaa guo za rangi ya blue, huyu ndiyo ilihukua muda mrefu sana kuondolewa pale pengine ni kutokana na kufa palepale...
 
Waliouwawa ni wawili aliekuwa kwenye rav 4 na fundi aliekuwa amevaa guo za rangi ya blue, huyu ndiyo ilihukua muda mrefu sana kuondolewa pale pengine ni kutokana na kufa palepale...

Lema komesha ujambazi na mauaji Arusha.
 
Pole kwa wafiwa. WaTZ kwa pamoja tuungane kulani kwa nguvu zote vitendo vya kihalifu. Mungu awajalie faraja na moyo wa subiri ndugu wa marehemu.
 
Waliouwawa ni wawili aliekuwa kwenye rav 4 na fundi aliekuwa amevaa guo za rangi ya blue, huyu ndiyo ilihukua muda mrefu sana kuondolewa pale pengine ni kutokana na kufa palepale...
Tunashukuru kwa ufafanuzi mkuu
 
Kuna habari zimeenea mjini
hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri
vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi
mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi
watujuze

panone ni Bilionea ni zaidi ya mfanyabiashara, anamiliki petrol station zaidi ya 20 ndani na nje ya nchi!huwa analeta meli nzima ya mafuta mwenyewe. Kama amekufa kweli apumzike kwa amani
 
Lema komesha ujambazi na mauaji Arusha.
Waliopewa jukumu hilo wamegeuka wauwaji na wategenezaji wa video halafu unataka lema afanye kazi ya kulinda wananchi badala uwaambie walio apa kuwalinda watanzania badala yake wana wawinda pumbuvu kabisa....
 
panone ni Bilionea ni zaidi ya mfanyabiashara, anamiliki petrol station zaidi ya 20 ndani na nje ya nchi!huwa analeta meli nzima ya mafuta mwenyewe. Kama amekufa kweli apumzike kwa amani
Mwenye PANONE ni Riz1 na petrol station nyingi zina supermarket huyu mtoto ni fisadi mbaya kabisa na madawa ya kulevya...
 
duh.!
poleni arusha, ila kama ni kweli ameuawa ni vizuri ukafanyika uchunguzi wa hicho kinachoendelea coz that is not normal kwa hao ''mabillionea'' kufa mfululizo, i have a bad feeling kuna jambo nyuma ya pazia..
 
Ni kweli nimethibitishwa na mtu wake wa karibu kabsa

Utasusutwa mtoto wa kiumeni aliyekufa ni mfanyakazi wake alikuwa anapeleka pesa benk.mmezidi majungu na umbea some of men here.hamna kazi?pu..vu utatangulia wewe kabla yake
 
Back
Top Bottom