FATIKI wa TIFU
Member
- Apr 20, 2013
- 21
- 0
Yule mtoto wa kichagga mbona nimesh2ka sana ngoja niwasiliane na nduge yake
jamani nchi inakwenda wapi tunaomba uchunguzi mzuri kama ule wa boston U S A
Yule mtoto wa kichagga mbona nimesh2ka sana ngoja niwasiliane na nduge yake
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze
ChademaKama ni kweli, basi kuna kitu kinazunguka Arusha ambaco sio kizuri
Haya wewe Mzungu mwenye upeo wa juu kabisa wa kufikiri tuambie tunakusikiliza mtukufu.mawazo kama haya ndo kiwango cha juu kabisa cha kufikiri cha Muafrika.
Na ukweli huu tuliujua toka zamani hizo za kukosa usalama,BADO ANSELIM MINJA,naye yupo kwenye obligation list yenu!! Na yeye pia anaelewa hilo,kama ambavyo mawalla alivyokuwa aware na kilichotokea,haya ni mambo madogo sana kwa ccm unayoishabikia,makubwa zaidi yapo chini ya carpet.[/QUOTE
Mkuu nakushauri kama raia mwema mwenzako, ukiwa na jambo lolote lile ambalo unahisi linaweza tokea peleka katika ngazi husika, hakuna haja ya kukaa na mambo chini ya kapeti, nenda polisi mkuu
Hakuna mabilionea wa ukweli hapa Tanganyika