Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,687
- 3,406
hakuna chochote hawa walikwenda kwa donoadonoa na muda wao waliopewa kuishi kwa raha mstarehe umewadia.
Una maana walikua hawajaanza kuishi kwa raha mstarehe, sasa muda UMEWADIA ndo wanaanza ''kuishi raha mstarehe''?? Au muda wa kuishi raha mstarehe UMEISHA??