Wawili wauawa Arusha

Wawili wauawa Arusha

Wakuu ni kweli kabisa nimefika eneo la tukio chini ya mti inadaiwa kapigwa risasi ya kifua. Kabla ya hapo trafiki wawili wa kike walikuwa wamemsimamisha wanamkagua ndio jamaa wakaja na pikipiki wakamshuti trafiki wakakimbia.
 
Umbeya huu na unatokana na kukosa kazi za kufanya!
 
Kila siku wapo wanao kufa na pia wapo wanaozaliwa. Hakuna jipya hapo. Au kwa kuwa alikuwa na vijisenti? Anyway kama ni kweli tunawapa pole wafiwa.
 
Wakuu ni kweli kabisa nimefika eneo la tukio chini ya mti inadaiwa kapigwa risasi ya kifua. Kabla ya hapo trafiki wawili wa kike walikuwa wamemsimamisha wanamkagua ndio jamaa wakaja na pikipiki wakamshuti trafiki wakakimbia.
kwa hyo ni meneja wake?
 
Kwani hizi Panone si ni mali ya Riz1? Au ndio kafa?

Hata mimi najuaga kwamba PANON,ni mali ya Riz1 Kikwete!! Sasa kama tajiri kauawa basi Riz1 R.I.P

Lakini Inasemekana alieuawa ni Fundi wa Visima vya Mafuta ya Kampuni ya PANON.

Lakini pia Ikumbukwe kwamba Panon ipo nchi nzima na kwamba kuwa mmiliki wake ni Mtu wa Arusha ambae anaweza kuwa na Utajiri wote huo lakini asijulikane na Wakazi wa A town! Itakua ni uongo Mtakatifu!

Mbona hawa wanaoitwa mabilionea hapa Arusha wanajulikana karibia wote! Iweje huyu wa Panon asijulikane??
 
alieuwawa ni dereva chini ya mti karibu na idara ya maji na mwingine ni majeruhi alipigwa risasi ya kichwa na askari usalama barabarani alipigwa risasi ya mguu majambazi wenyewe walikuwa na toyo
 
Mkuu huo utajiri unapatikana wapi? Nielekeze mkuu, nimeshachoka na maisha ya kimasikini, nimechoka kulala kwenye mabox Kariakoo...

hahaha Mbeya huko baba unakwenda kwa mganga baada ya kutimiza masharti yake anakuambia uchukue punje uzimwage mbele ya KUKU, yule kuku atakula punje pale let say punje 7. Hapo inamaanisha utakuwa stinking rich for 7yrs halafu mzee unavuta ghafla tu km wale jamaa wa Arusha.
 
hahaha Mbeya huko baba
unakwenda kwa mganga baada ya kutimiza masharti yake anakuambia uchukue
punje uzimwage mbele ya KUKU, yule kuku atakula punje pale let say punje
7. Hapo inamaanisha utakuwa stinking rich for 7yrs halafu mzee unavuta
ghafla tu km wale jamaa wa Arusha.

Mkuu inavyoonekana una details za kutosha, nitaku PM ili niweze kwenda huko...
 
Back
Top Bottom