Wawili wauawa Arusha

Wawili wauawa Arusha

Mwenye PANONE ni Riz1 na
petrol station nyingi zina supermarket huyu mtoto ni fisadi mbaya kabisa
na madawa ya kulevya...

sio kweli Ngiloi hana ubia na Riz1, ngiloi ameanza ujasiriamali kwa muda mrefu sana pengine Riz akiwa bado yupo shule! Tusiwe na wivu wa kike kuona mtu hawezi kuendelea bila kuwezeshwa! Kesho mtasema Bilionea Laswai wa Moshi pia anawezeshwa na Riz 1
 
Lema komesha ujambazi na mauaji Arusha.

Kwa hiyo Lema ameshakuwa AMIRI JESHI MKUU.

Msiwe mnatafuta sababu na mahali pa kukwepesha/kusukumia matatizo ambayo kimsingi ni jukumu la Serikali kuyatafutia ufumbuzi. Tunakoelekea sasa naona inazidi kudhihirika wazi kuwa Serikali imeshashindwa kutekeleza mambo muhimu na ya msingi kwa Watanzania
 
Mwenye PANONE ni Riz1 na petrol station nyingi zina supermarket huyu mtoto ni fisadi mbaya kabisa na madawa ya kulevya...

Aliyepigwa risasi ni mdada moja hivi ambaye anajulikana kama cashier wa panone, anajulikana kwa jina la kisketi pale benki kutokana na uvaaji wake. hivyo aliyepigwa risasi siyo mmiliki wa panone
 
security has always been a number one major concern in Arusha, the little the town it is the riskier it gets, it has always been a culture of many in Arusha, kufanya matukio, mtu bila kuonekana mbabe au kufanya matukio hajioni kutimia , hivyo inakuwa tatizo, unless huu utamaduni wa kibabe uishe, matukio kama haya hayatakaa kuisha, no need to believe in any conspiracy theories
 
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze

Nasikia Matajiri hao wanaokufa walikuwa wanakipa support chama fulani cha siasa, sasa baada ya kujitambua kuwa wanatumiwa,Chama hicho kinawamaliza kwa njia za kigaidi.
Source: Kilimanjaro.
 
sio kweli Ngiloi hana ubia na Riz1, ngiloi ameanza ujasiriamali kwa muda mrefu sana pengine Riz akiwa bado yupo shule! Tusiwe na wivu wa kike kuona mtu hawezi kuendelea bila kuwezeshwa! Kesho mtasema Bilionea Laswai wa Moshi pia anawezeshwa na Riz 1
Acha ubishi wewe Riz yupo ndani ya PANONE na Amenunua state hapo maili sita
 
Nasikia Matajiri hao wanaokufa walikuwa wanakipa support chama fulani cha siasa, sasa baada ya kujitambua kuwa wanatumiwa,Chama hicho kinawamaliza kwa njia za kigaidi.
Source: Kilimanjaro.

asante kwa mchango wako! ila aliyeuwawa si PANONE mwenyewe ni dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari lililobeba fedha.
 
Mwambie kikwete azuie usalama wa taifa kufanya ugaidi

KATI YA MIPANGO YA SIRI YA KUIMALIZA CHADEMA WANAOJINADI NAO WASIRA NA MWIGULU NA WATU WA USALAMA WA TAIFA ..UPO NA TASK FORCE

1] KUPAKA MATOPE....
2]KUWEKA VIONGOZI WA CHADEMA BUSY NA KESI MAHAKAMANI..
3]KUDHIBITI MIKUTANO
4]MKAKATI WA BUNGENI..[IKIWEMO JARIBIO LA KUZUIA BUNGE KUONESHWA LIVE...NA KUZUIA VYOMBO VYA HABARI KURUSHA LIVE]
5] KUWASHUGHULIKIA WAANDISHI NA MAGAZETI AU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOEGEMEA WAPINZANI

6]KUDHIBITI NA KUWAONDOA WAFADHILI WA CHADEMA .......

Wananchi wa kanda ya kaskazini tayari wameingiwa na hofu kubwa ...kutokana na kufa kwa wafanya biashara katika mazingira ya ajabu....

Nyagga Mawalla...alikuwa mwana ccm lakini katika miaka ya karibuni alikuwa mfadhili mkuu sana wa Chadema pale Arusha...,na katika siku za mwisho za uhai wake alikuwa na hofu kubwa ya kifo....ni mwaka huu ambapo aliwapa WAKAZI wa arusha kupotia Arusha Development Fund ..taasisi ya chadema ..kiwanja cha dhamani ya milioni 500 kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi....
Zaidi ya hapo pia alikuwa mshauri wa kisheria na uwekezaji wa familia ya Freeman Mbowe...na matajiri wengi.

Babu Sambeke ...alikuwa mchangaji mkubwa wa Chadema pale Moshi.....

Nyitti ambaye alifariki katika mazingira ya kutatanisha morogoro ....alikuwa rafiki mkubwa wa Lowassa na baada ya kuona Lowassa anaonewa ndani ya CCM....alianza kuichangia Chadema kwa siri .....

Inahisiwa kuwa kuna mkakati wa kuwamaliza kwa namna mbali mbali wafanyabishara wanaofadhili CHADEMA....hii imeleta hofu kubwa na SIO MZAHA!!!!!!

Sijui itakuwaje kama mikakati yote ya CCM itagunduliwa ...nadhani hadi mwakani wataanza kutumia nguvu...wazi wazi..
.
 
Kwa hiyo Lema ameshakuwa AMIRI JESHI MKUU.

Msiwe mnatafuta sababu na mahali pa kukwepesha/kusukumia matatizo ambayo kimsingi ni jukumu la Serikali kuyatafutia ufumbuzi. Tunakoelekea sasa naona inazidi kudhihirika wazi kuwa Serikali imeshashindwa kutekeleza mambo muhimu na ya msingi kwa Watanzania

Hivi mauaji yakitokea sehemu mbunge wa sehemu husika kuna ubaya naye akijitokeza kupambana na hali hiyo.
 
KATI YA MIPANGO YA SIRI YA KUIMALIZA CHADEMA WANAOJINADI NAO WASIRA NA MWIGULU NA WATU WA USALAMA WA TAIFA ..UPO NA TASK FORCE

1] KUPAKA MATOPE....
2]KUWEKA VIONGOZI WA CHADEMA BUSY NA KESI MAHAKAMANI..
3]KUDHIBITI MIKUTANO
4]MKAKATI WA BUNGENI..[IKIWEMO JARIBIO LA KUZUIA BUNGE KUONESHWA LIVE...NA KUZUIA VYOMBO VYA HABARI KURUSHA LIVE]
5] KUWASHUGHULIKIA WAANDISHI NA MAGAZETI AU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOEGEMEA WAPINZANI

6]KUDHIBITI NA KUWAONDOA WAFADHILI WA CHADEMA .......

Wananchi wa kanda ya kaskazini tayari wameingiwa na hofu kubwa ...kutokana na kufa kwa wafanya biashara katika mazingira ya ajabu....

Nyagga Mawalla...alikuwa mwana ccm lakini katika miaka ya karibuni alikuwa mfadhili mkuu sana wa Chadema pale Arusha...,na katika siku za mwisho za uhai wake alikuwa na hofu kubwa ya kifo....ni mwaka huu ambapo aliwapa WAKAZI wa arusha kupotia Arusha Development Fund ..taasisi ya chadema ..kiwanja cha dhamani ya milioni 500 kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi....
Zaidi ya hapo pia alikuwa mshauri wa kisheria na uwekezaji wa familia ya Freeman Mbowe...na matajiri wengi.

Babu Sambeke ...alikuwa mchangaji mkubwa wa Chadema pale Moshi.....

Nyitti ambaye alifariki katika mazingira ya kutatanisha morogoro ....alikuwa rafiki mkubwa wa Lowassa na baada ya kuona Lowassa anaonewa ndani ya CCM....alianza kuichangia Chadema kwa siri .....

Inahisiwa kuwa kuna mkakati wa kuwamaliza kwa namna mbali mbali wafanyabishara wanaofadhili CHADEMA....hii imeleta hofu kubwa na SIO MZAHA!!!!!!

Sijui itakuwaje kama mikakati yote ya CCM itagunduliwa ...nadhani hadi mwakani wataanza kutumia nguvu...wazi wazi..
.
Uliyosema kwa kiasi kikubwa ni kweli
 
Hivi mauaji yakitokea sehemu mbunge wa sehemu husika kuna ubaya naye akijitokeza kupambana na hali hiyo.

Kuna haja gani basi ya kuwa na vyombo vya usalama visivyotimiza wajibu wake zaidi ya kula kodi za wananchi na kuvimbisha matumbo pekee.
 
KATI YA MIPANGO YA SIRI YA KUIMALIZA CHADEMA WANAOJINADI NAO WASIRA NA MWIGULU NA WATU WA USALAMA WA TAIFA ..UPO NA TASK FORCE

1] KUPAKA MATOPE....
2]KUWEKA VIONGOZI WA CHADEMA BUSY NA KESI MAHAKAMANI..
3]KUDHIBITI MIKUTANO
4]MKAKATI WA BUNGENI..[IKIWEMO JARIBIO LA KUZUIA BUNGE KUONESHWA LIVE...NA KUZUIA VYOMBO VYA HABARI KURUSHA LIVE]
5] KUWASHUGHULIKIA WAANDISHI NA MAGAZETI AU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOEGEMEA WAPINZANI

6]KUDHIBITI NA KUWAONDOA WAFADHILI WA CHADEMA .......

Wananchi wa kanda ya kaskazini tayari wameingiwa na hofu kubwa ...kutokana na kufa kwa wafanya biashara katika mazingira ya ajabu....

Nyagga Mawalla...alikuwa mwana ccm lakini katika miaka ya karibuni alikuwa mfadhili mkuu sana wa Chadema pale Arusha...,na katika siku za mwisho za uhai wake alikuwa na hofu kubwa ya kifo....ni mwaka huu ambapo aliwapa WAKAZI wa arusha kupotia Arusha Development Fund ..taasisi ya chadema ..kiwanja cha dhamani ya milioni 500 kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi....
Zaidi ya hapo pia alikuwa mshauri wa kisheria na uwekezaji wa familia ya Freeman Mbowe...na matajiri wengi.

Babu Sambeke ...alikuwa mchangaji mkubwa wa Chadema pale Moshi.....

Nyitti ambaye alifariki katika mazingira ya kutatanisha morogoro ....alikuwa rafiki mkubwa wa Lowassa na baada ya kuona Lowassa anaonewa ndani ya CCM....alianza kuichangia Chadema kwa siri .....

Inahisiwa kuwa kuna mkakati wa kuwamaliza kwa namna mbali mbali wafanyabishara wanaofadhili CHADEMA....hii imeleta hofu kubwa na SIO MZAHA!!!!!!

Sijui itakuwaje kama mikakati yote ya CCM itagunduliwa ...nadhani hadi mwakani wataanza kutumia nguvu...wazi wazi..
.

It either unaandika kwa hisia au, tayari weekend imeshaanza, mkuu hizi ni hadithi tu za mtaani, vifo vipo, ila kutokana na kuwepo kwa utandawazi unaweza kuona mambo ya ajabu sana kutokea, mkuu halli ya usalama kwa Arusha ni tete tokea zamani, mambo kama haya mnayaleta nyie wageni wa mkoa na kutaka kupotosha watu na kujenga hoja potofu, njoo na ushahidi wa kutosha kabla ya kuandika kama mlevi
 
STROKE kama jina lako Mbona unaniita MLEVI?? nimekukosea nini? hii sio conspiracy ....LABDA NIKUULIZE WEWE UNAO USHAHIDI WA KUWA HAKUNA JAMBO LINALOENDELEA NYUMA YA PAZIA???
Muhimu tumetoa kama ONYO tu ili hizi taarifa zifike SERIKALINI....huwezi KUZUIA WANANCHI KUWA NA HISIA KAMA HIZO ESPECIALLY MAZINGIRA NA VIFO VINAPOONGOZANA.............
HAIKUWA DHAMBI WANA TARIME KUWA NA HISIA MBAYA NA CHADEMA....HADI JUHUDI ZA KUWAELIMISHA ZILIZOFANYWA NA CHADEMA WENYEWE ZILIPOFANYWA .....HIVYO HIVYO HUWEZI ZUIA WANANCHI KWA SASA KUWA NA HISIA KUWA HIII NI SEHEMU YA "OPERESHENI CHAKAZA CHADEMA KABLA YA 2015"....ambayo sio siri ...na hata ccm wanajigamba nayo......Sasa mnafikiri hiyo Chadema itakufa bila mikakati....ambayo ipo dhahiri na utekelezaji wake wala sio siri?
 
Back
Top Bottom