Wawili wauawa Arusha

Wawili wauawa Arusha

Hivi hao mabilionea wa arusha kufa kwa mfululizo namna hiyo ndio kusema walipata utajiri kwa mazingara ili waishi muda mfupi nini?
 
It either unaandika kwa hisia au, tayari weekend imeshaanza, mkuu hizi ni hadithi tu za mtaani, vifo vipo, ila kutokana na kuwepo kwa utandawazi unaweza kuona mambo ya ajabu sana kutokea, mkuu halli ya usalama kwa Arusha ni tete tokea zamani, mambo kama haya mnayaleta nyie wageni wa mkoa na kutaka kupotosha watu na kujenga hoja potofu, njoo na ushahidi wa kutosha kabla ya kuandika kama mlevi

Na ukweli huu tuliujua toka zamani hizo za kukosa usalama,BADO ANSELIM MINJA,naye yupo kwenye obligation list yenu!! Na yeye pia anaelewa hilo,kama ambavyo mawalla alivyokuwa aware na kilichotokea,haya ni mambo madogo sana kwa ccm unayoishabikia,makubwa zaidi yapo chini ya carpet.
 
Kama kafa huyo basi kutakuwa na siri kubwa juu ya utajiri wa matajiri Arusha.
Hakuna cha siri hapa, huu ni mkakati wa ofisi binafsi ya mtu mkubwa nchi hii. Wale wote wanaoifadhili CDM lazima waishe kabla ya 2015!
 
Nasikia unapatikana mikoa ya nyanda za juu, iringa, mbeya huko
Mkuu huo utajiri unapatikana
wapi? Nielekeze mkuu, nimeshachoka na maisha ya kimasikini, nimechoka
kulala kwenye mabox Kariakoo...
 
PANONE ana pesa ya EPA,baada ya NJAKE (Bw.Lema)kuona kesi ipo kwa mkuu wa kaya,pesa vituo vyote akahamishia kwa PANONE,ndipo njake ilipoanza kufa na Panone kushamiri mpaka sasa
 
Hakuna cha siri hapa, huu ni mkakati wa ofisi binafsi ya mtu mkubwa nchi hii. Wale wote wanaoifadhili CDM lazima waishe kabla ya 2015!

"...au tuamini..usalama wa Taifa umegawanyika..,kuna waliobaki wazalendo wanatetea Taifa kwa Kila Hali ..,kuna wanaotetea watawala ...na kuna wanaotumiwa kwa Malengo binafsi na baadhi ya Watu , ieleweke kuwa Tunatambua kazi kubwa inayofanywa na usalama wa Taifa ...ila tunalaani baadhi ya maafisa wanaotumika ....Kama tunavyolaani mapolisi wanaoshirikiana na majambazi" ....Prof Kahigi

Tuhuma kuwa Mkuu alipoingia alianzisha kikosi Chake maalum ..binafsi kinachotumia baadhi ya maafisa wasiokuwa wanaminifu zipo...na zimekuwa zikiwakera sana carrier spies...ambao wao wamebaki njia panda kwa kutosikilizwa....Kila taarifa anayopata huihakiki na Watu binafsi wasio na mafunzo...
Inaaminika kuwa gharama za kuendelea kikosi hiki nazo zinatoka kwenye Dili za misheni misheni..,ufisadi...tenda kupitia makampyni yanayomilikiwa na wana kikundi etc..."

Hakuna mtu wa usalama wa Taifa anayeweza kutekeleza mipango ya kijasusi inayoshindwa Kama tunayoishuhudia ...usalama wa Taifa wa kweli huwa hawakosei...na adhabu ya kukosa iPo .....Tatizo mipango inatekelezwa na maafisa walio ndani kwa kushirikiana na wahuni wa kukodi ambao hawana mafunzo...
Wale waaminifu wamedhamiria kuitoa Siri hii hata Kama ni miaka kumi ijayo....wana Kila aina ya ushahidi na wamechoka idara kuchafuliwa na wahuni,,, ...
 
Wakuu ni kweli kabisa nimefika eneo la tukio chini ya mti inadaiwa kapigwa risasi ya kifua. Kabla ya hapo trafiki wawili wa kike walikuwa wamemsimamisha wanamkagua ndio jamaa wakaja na pikipiki wakamshuti trafiki wakakimbia.
hao trffic wamehusika
 
pesa.jpg


Mfano wa pesa, si hizi zlizoibwa Arusha na majambazi .


KWA UFUPI
Tukio hilo lilitokea jana saa 5:30 asubuhi katika eneo la Idara ya Maji, katikati ya Jiji la Arusha na kuzua tafrani ya aina yake, baada ya majambazi hao kupiga risasi ovyo hewani kabla ya kupora kiasi hicho cha fedha.

Arusha. Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa, akiwamo askari polisi, baada ya majambazi kuvamia gari lililokuwa limebeba Sh58 milioni zilizokuwa zinapelekwa benki.

Tukio hilo lilitokea jana saa 5:30 asubuhi katika eneo la Idara ya Maji, katikati ya Jiji la Arusha na kuzua tafrani ya aina yake, baada ya majambazi hao kupiga risasi ovyo hewani kabla ya kupora kiasi hicho cha fedha.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Ibrahim Kilongo alithibitisha kutokea kwa mauaji na uporaji huo wa fedha za Kampuni

ya Mafuta ya Panone.

Kamanda Kilongo, alisema majambazi hayo yakiwa na pikipiki, yalivamia gari lililokuwa likiendeshwa na Moses Masania, akiwa na wahasibu wawili Hapiness Ndasai na Jacline Dastin wa kampuni hiyo.

Alisema majambazi hayo yaliyokuwa matatu, yakitumia pikipiki, yalizuia gari hilo kwa mbele eneo la Idara ya Maji na kuvunja kioo cha mbele cha gari na kisha kumpiga risasi Masania ambaye alifariki papo hapo. ya Mafuta ya Panone inayomilikiwa na Patrick Olomi. Kamanda Kilongo, alisema majambazi hao wakiwa na pikipiki, walivamia gari lililokuwa likiendeshwa na Moses Masania, akiwa na wahasibu wawili Hapiness Ndasai na Jackline Dastin wa kampuni hiyo.

Alisema majambazi hao waliokuwa watatu, wakitumia pikipiki, walilizuia gari hilo kwa mbele eneo la Idara ya Maji na kuvunja kioo cha mbele cha gari na kisha kumpiga risasi Masania ambaye alifariki papohapo.

Kamanda Kilongo alisema katika vurugu hizo za uporaji, majambazi hao pia walimjeruhi kwa risasi Hapiness na askari polisi Koplo Kudura aliyekuwa njiani katika shughuli zake.

“Wote walipata majeraha kidogo, na polisi aliyepigwa risasi mguuni alitibiwa na anaendelea vizuri,” alisema Kamanda Kilongo. Alisema katika tukio hilo majambazi hao walifanikiwa kutoweka na fedha Sh58 milioni zilizokuwa zinapelekwa benki.

Tukio hili limekuja wakati matukio ya ujambazi yameanza kurejea Arusha, kwani hivi karibuni majambazi walimuua kwa risasi mfanyabiashara wa madini na kutoweka na madini aliyokuwa nayo.

Kamanda Kilongo ametoa wito kwa wafanyabiashara wanaobeba fedha nyingi kupeleka benki, watoe taarifa ya kuomba msaada kwa polisi.

Hata hivyo, alisema hadi kufikia jana jioni msako wa kuwakamata majambazi hao, ulikuwa unaendelea.
Majambazi yaua, yapora mamilioni - Kitaifa - mwananchi.co.tz







 
MziziMkavu, vp bhana?
Mbona kama kuna vipande wavirudia rudia?
Au wana wa Arachuga washakukirimu kwa cha Arusha!
 
Last edited by a moderator:
MFULULIZO WA MAUAJI YA SIRI JIJINI ARUSHA SI SALAMA KWA CHAMA TAWALA NA TIMU ZAKE ZA KUSAKA URAIS KWA MTAJI WA DAMU YA WENGINE

Jamani hii programu ya mauaji ya msururu mkubwa wa wanachama wa CHADEMA na wafadhili wetu jijini Arusha tangu Askofu Laiser hadi leo mfanyabiashara mmoja baada ya mwingine mwisho wake lini??

Kimsingi kuna mtuanamdanganya Chatanda kwamba ili kuking'oa CHADEMA katika mioyo ya wananchi kule Kaskazini basi unahitaji kumualika Rais Kikwete kuja kuzindua mpango mzima huo kwa kuanza kukimbia mitaani A-Tauni na kupungia watu huku na kule.

Yote juu ya yote, CHADEMA hakiwezi kuondolewa katika mioyo ya wengi kwa kuwaua baadhi ya wakubwa wao.

[/COLOR
Habari Kaka,
Naona unaihusisha CCM na msururu wa vifo vinavyotokea Arusha lakini unasahau kwamba kila kifo kimetokea
kwa namna tofauti kwa mfano kuna ambaye amepata ajali ya ndege na mwingine ameanguka kutoka gorofani nje ya nchi. Hawa waliofariki leo sio wafadhili wa Chadema mmoja ni mfanyakazi tu wa Panone.

Kuna Point muhimu sana kwenye post yako, umemuhusisha Marehemu Askofu Laizer kama alikua mmoja wa wanachama wa Chadema au labda mfadhili (wewe ndio unajua vizuri)kwa mujibu wa post yako hapo juu.

Je ina maana ni kweli Chadema ni chama cha kidini ikiwa kuna viongozi wa kidini ambao ni wanachama na wafadhili wa Chama?

Je maneno aliyo sema Mh. Mwigulu Nchemba kwamba Chadema ndio iliyoleta udini nchi hii na ana ushahidi wa Dr Slaa kufanya mkutano wa kisiasa na viongozi wa kidini Singida ni ukweli?

Sina uhakika kama chama kitasimama na wewe kama kilivyofanya kwa Lwakatare au kitasema huo ni msimamo wako kama mwanachama na sio msimamo wa chama.

Samahani kama nimemkwaza mtu, nilikua napita tu.
 
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze

juzi nilikua na dereva wake akinipa story zake. sitashangaa ikiwa amepigwa risasi. biashara nyingine zinatafutwa kwa ubabe. zinaendeshwa kwa ubabe.
 
Mh! Kazi ipo. Kuna kitu kwa hao ma-tycoon wa Arachuga.

Yule wakili maarufu kijana naye nilisikia akibweka kuwa yeye si freemasons...kauli zake za hivi karibuni zina utata kweli.

Unamchokoza Alberto msando;Wakili a.k.a Diwani wa Kata ya Mabogini(Chadema)..si amesema haelewei maana ya freemason na akiwa member ataweka wazi kama Sir Chande..
 
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze
Duh! Majambazi yote ya zamani ya Arusha/Moshi yanapukutika! Kuanzia Advocate crook!, Yule wa Madini, Wa Ndege na huyu La! Sijui walizurumiana! any way, R.I.P Mfanyabiashara!
 
Back
Top Bottom