Wawili wauawa Arusha

Wawili wauawa Arusha

Siyo yeye nimeshuhudia maiti ikipakiwa kwenye defender ya polisi.
 
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze

Ni kweli nimethibitishwa na mtu wake wa karibu kabsa
 
Well baada ya kusoma uzi wako nimepiga simu moja mbili.
ukweli ni kuwa aliyepigwa risasi ni dereva wa Panone na wala sio Patrick. Hizi ni taarifa za uhakika toka ndani ya familia.
 
MFULULIZO WA MAUAJI YA SIRI JIJINI ARUSHA SI SALAMA KWA CHAMA TAWALA NA TIMU ZAKE ZA KUSAKA URAIS KWA MTAJI WA DAMU YA WENGINE

Jamani hii programu ya mauaji ya msururu mkubwa wa wanachama wa CHADEMA na wafadhili wetu jijini Arusha tangu Askofu Laiser hadi leo mfanyabiashara mmoja baada ya mwingine mwisho wake lini??

Kimsingi kuna mtuanamdanganya Chatanda kwamba ili kuking'oa CHADEMA katika mioyo ya wananchi kule Kaskazini basi unahitaji kumualika Rais Kikwete kuja kuzindua mpango mzima huo kwa kuanza kukimbia mitaani A-Tauni na kupungia watu huku na kule.

Yote juu ya yote, CHADEMA hakiwezi kuondolewa katika mioyo ya wengi kwa kuwaua baadhi ya wakubwa wao.

Mkuu hebu fafanua vizuri unataka kusemaje?
 
hahaha Mbeya huko baba unakwenda kwa mganga baada ya kutimiza masharti yake anakuambia uchukue punje uzimwage mbele ya KUKU, yule kuku atakula punje pale let say punje 7. Hapo inamaanisha utakuwa stinking rich for 7yrs halafu mzee unavuta ghafla tu km wale jamaa wa Arusha.
mmmh,ya kweli hayo?
 
Kama ni kweli, basi kuna kitu kinazunguka Arusha ambaco sio kizuri

Sio kitu kinazunguka, Huenda ni maandalizi ya kutafuta mshiko wa uchaguzi, Hata hivyo si uliona mheshimiwa 1 anazigawa huko moro kwa wazee!!!
 
Hela za freemason's zinawarudi hawa! R.I.P BUSNESS MAN.
 
Yani Kila mtu akianza Kuposti Wafanyabiashara wanaokufa humu si itakuwa balaa....?!!!

Hili halitakuwa jukwaa la siasa ..litakuwa Jukwaa La vifo....

Na nyinyi MODS mnahamisha habari za maana mnaacha habari kama hizi...
 
Mzee wangu patrick ndio mmiliki wa panone n co alianza kwa kuuza mafura ya taa saivi anamiliki vitupo vyake mwenyewe ni tajiri mkubwa sana rizmoko hana chake katika mali hyo ana binti yake ndio managing director
 
Kama ni kweli ina maana kanda ya Kaskazini kuna CULLING ya wafanyabiashara wakubwa?? Wacha tusubirie habari zaidi......Naanza kuona kama sinema za Cowboys vile...
 
Hapana ni meneja wao ndiye kapigwa risasi Arusha.Sio Patrick Ngiloi

Leo majira ya saa tano kuna dada mmoja amepigwa risasi akiwa na Rav4 akipeleka pesa benk na wakati majambazi hayo yakifanya tukio hilo fundi mmoja alitokea akiwa amembeba trafic hivyo yaka jua wanawafatilia na alikujihami fundi huyo alie kuwa kwenye piki piki nae alirushiwa risasi na kufa hapo hapo huku polisi akipigwa risasi ya mguu, tukio hili limetokea maeneo ya chini ya mti karibu na idarae ya maji, cha ajabu nimeshuhudia maitipolisi wakiisachi na kutoa pesa sijui kama watakabidhiwa ndugu wa marehemu...
 
Back
Top Bottom