Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Panapofuka moshi...

Better is to know the truth!!!

Utakuwaje na peace of mind ambayo msingi wake ni imani potofu? Peace of mind comes upon knowing the truth.
Na huwezi kuwa safe kwa kuwa na false peace of mind. Au wewe unazungumzia safety in what sense? Mkeo acheat huko nje huku wewe unajipa imani potofu kuwa hacheat...kuna safety gani hapo?

Imani ambayo msingi wake ni ukweli na uaminifu hiyo nakubali. Lakini imani ya upofu, kijinga, na kipumbavu ambayo msingi wake ni uoga wa kukabiliana na ukweli mwisho wake ni maziko yako wewe mwenye kuishikilia.

.
 
Panapofuka moshi...

.

Exactly BAK.
Where there is smoke there is fire.

Huanzi tu kuchunguza pasipo na sababu. You have to have probable cause - something that gives you a reason to think your partner has been partaking in some hanky-panky business behind your back. What is so unreasonable about that?
 
Wewe mgumu kweli kuelewa!!!!!!!!!!!!!!

Nani kasema anamchunguza chunguza mwenza wake pasipo na sababu?

Mtu anayemchunguza chunguza mwenza wake pasi na sababu basi huyo ni mwehu na nimeshasema huko nyuma kuwa haihusiki. Ama atakuwa anasumbuliwa na paranoid schizophrenia au atakuwa anaelekea kusumbuliwa nayo.

Lakini pale palipo na probable cause halafu wewe na uanaume wako eti unaogopa kufuatilia kisa hutaki kuumizwa hisia zako, mwanaume gani wewe? Mwanaume gani anaogopa ogopa kufuatilia kujua kitu palipo na probable cause kisa hataki kuumizwa?

This is just a matter of common sense. You only do it when there is reasonable suspicion. Kipi kigumu hapo kueleweka?

Kama kuna probable cause hakuna utoto katika kufuatilia. That's what anybody should do.

Inawezekana kweli mimi ni mgumu wa kuelewa au sielewi kabisa...

Hivi na wewe tukuelezeje ambaye unashindwa kujua kwamba hoja unazotaka kueleza tulishazitolea ufafanuzi? Hebu soma hapo chini halafu unambie!!

Kama unahisi mkeo au GF wako anacheat, tumia busara za kiume kuthibitisha kisha chukua hatua kama mwanamume....!!

Hiki unachofikiria ni sawa na kujiandalia kitanzi!

Babu DC!!
 
Umenikumbusha kitu... Which natural justice???

Burden of proof iko kwa nani? Prosecutor au accused. Lol.

Nasikia Italy kama niko correct 'guilty until proven innocent...wakati English (ndo sie) 'innocent until proven guilty'

Sasa wewe unafata ya UK au Italy?

Wewe naona unafuata ya Italy...unategemea mtuhumiwa a provide evidence mwenyewe badala ya wewe kuzitafuta.

Wanasheria msinirarue mi sijuhi sheria...ila nilikutana na hili kwenye pita pita zangu kwenye vitabu.

Ndugu zangu nyumba kubwa na Bwa'Nchuchu,

Naomba tuelewane vizuri katika hili jambo,

Sie hatuwachunguzi chunguzi wake zetu (tena kwa mbinu za kitoto kama zilizoelewa na mtoa mada) eti kwa sababu hawawezi kucheat, au kwa vile sisi ni wanaume wa Kiafrika au vinginevyo, bali kwa sababu tumewapa heshima na imani yetu kwa kiwango kikubwa (>90%) hadi pale watakapokuwa wameia-abuse. Hili ni jambo rahisi na natural justice inasemwa hivyo...they are innocent until proved otherwise...Nyie mnaamini kinyume chake??

Mmenielewa??

Babu DC!!
 
Umenikumbusha kitu... Which natural justice???

Burden of proof iko kwa nani? Prosecutor au accused. Lol.

Nasikia Italy kama niko correct 'guilty until proven innocent...wakati English (ndo sie) 'innocent until proven guilty'

Sasa wewe unafata ya UK au Italy?

Wewe naona unafuata ya Italy...unategemea mtuhumiwa a provide evidence mwenyewe badala ya wewe kuzitafuta.

Wanasheria msinirarue mi sijuhi sheria...ila nilikutana na hili kwenye pita pita zangu kwenye vitabu.

Wanaume wa siku hizi tumeishiwa mpaka tunawinda kina mama wasi cheat? Kama wanaume wangekuwa wanabeba mimba mbona hii dunia ingejaa watoto wa mitaani maana wanaongoza kwa ku cheat.
 
Men ought to provide security and care to their wives or lovers na moja ya sababu za kuprovide security ni kuhakikisha mzigo wako ushei na mtu.
 
Wewe nyumba kubwa,

Unataka nirudie post yangu hapo juu....??

Mimi siyo mtaalamu wa kucheza na lugha kwa sababu hilo siyo eneo langu kitaaluma!

Ila nimeshasema kuwa tunapatia heshima na imani (trust) wake zetu hadi pale tutakapothibitisha pasipo na shaka lolote kwamba wame-abuse hivyo vitu....Ambalo halieleweki hapo ni lipi??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa siku hizi tumeishiwa mpaka tunawinda kina mama wasi cheat? Kama wanaume wangekuwa wanabeba mimba mbona hii dunia ingejaa watoto wa mitaani maana wanaongoza kwa ku cheat.

Umeona mkuu,

Sijui kwa nini hawa watu hawaelewi...Nadhani wamesahau kwamba ukianza kutafuta makosa mtu lazima utayapa tu hata kama ni illusions!!

Halafu sijawaelewa wanaotaka kuchunguza chunguza wanatafuta nini hasa, kwani kama mtu akiamua kucheat anaweza kufanya hivyo for decades na mwenzi wake asijue!!

Babu DC!!
 
Hapo tuko pamoja..
Kwani sitegemei kuna mtu ana anza tu kumchunguza mwenza wake bila kuona dalili za uwezekano wa kuibiwa.

Hata yule alokuja na uzi wa mume wake anatembea na secretary; alibadili sim card baada ya kuhisi uhusiano usio wa kawaida kati ya mumewe na huyo secretary.

Still watu wakatoa comments za kumkebehi eti ni kiherehere. Kosa lake ni lipi na alikuwa nafanya kazi yake ya prosecution ili awe na informed decision kuliko kubaki ana guess.

Kuna anayechunguza bila sababu???

Wewe nyumba kubwa,

Unataka nirudie post yangu hapo juu....??

Mimi siyo mtaalamu wa kucheza na lugha kwa sababu hilo siyo eneo langu kitaaluma!

Ila nimeshasema kuwa tunapatia heshima na imani (trust) wake zetu hadi pale tutakapothibitisha pasipo na shaka lolote kwamba wame-abuse hivyo vitu....Ambalo halieleweki hapo ni lipi??

Babu DC!!
 
Men ought to provide security and care to their wives or lovers na moja ya sababu za kuprovide security ni kuhakikisha mzigo wako ushei na mtu.

Unafanyaje mkuu Kabembe kuhakikisha kuwa huchangii mkeo na mtu mwingine??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Umeona mkuu,

Sijui kwa nini hawa watu hawaelewi...Nadhani wamesahau kwamba ukianza kutafuta makosa mtu lazima utayapa tu hata kama ni illusions!!

Halafu sijawaelewa wanaotaka kuchunguza chunguza wanatafuta nini hasa, kwani kama mtu akiamua kucheat anaweza kufanya hivyo for decades na mwenzi wake asijue!!

Babu DC!!

Dark City, the influx of the so called healers treating men with "problems" in town is an indication of the existing problem. Nimeshawahi kukutana na dada ambaye aliniambia wazi mme wake sio mwanaume maana hajui kutimiza wajibu wake. Yule dada sio kwamba alikuwa ana cheat bali ananieleza tatizo alilonalo maana mzee alikuwa na wivu wa kupindukia. Mimi as mimi sitaki kabisa kujiingiza kwenye biashara ya kuchunga mwanamke...maana ni mwanaume niliyekamilika. Akhuu kutafuta pressure zisizo na sababu
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu ingawa unaweza kujua. Kwa wanawake huwa wanatoa harufu ya kufanyana na njia huwa laini sana. Lazima mwanaume ujue jinsi ambavyo huwa unapata vikwazo kuingia. Utajua tu. Kwa wanaume kama ni wale wanao kojoa mapema huwa wanachelewa kukojoa. Kwa wale wanaochelewa kukojoa huchukua muda mrefu zaidi na mara nyingi hufanya kwa lengo la kumaliza tu. Unaweza kujua ingawa ni ngumu kiasi.
 
Use the vibrator on her clitoris QUOTE=Dark City;4460211]Inawezekana kweli mimi ni mgumu wa kuelewa au sielewi kabisa...

Hivi na wewe tukuelezeje ambaye unashindwa kujua kwamba hoja unazotaka kueleza tulishazitolea ufafanuzi? Hebu soma hapo chini halafu unambie!![/QUOTE]
 
Hapo tuko pamoja..
Kwani sitegemei kuna mtu ana anza tu kumchunguza mwenza wake bila kuona dalili za uwezekano wa kuibiwa.

Hata yule alokuja na uzi wa mume wake anatembea na secretary; alibadili sim card baada ya kuhisi uhusiano usio wa kawaida kati ya mumewe na huyo secretary.

Still watu wakatoa comments za kumkebehi eti ni kiherehere. Kosa lake ni lipi na alikuwa nafanya kazi yake ya prosecution ili awe na informed decision kuliko kubaki ana guess.

Kuna anayechunguza bila sababu???

Kama mzee au mama anakimbia wajibu wake nyumbani lazima atachunguzwa. Maana ndoa ina wajibu na kama hauutekelezi basi lazima kuna sababu. Ndio maana nasema kama mtu anatimiza wajibu wake kwanini kuhangaika na kujua nani ana cheat?
 
Hapo kwenye bold huoni kuwa unaji contradict. Mwanaume kamili na unaogopa matatizo (ukipata tatizo pressure juu). Lol

Dark City, the influx of the so called healers treating men with "problems" in town is an indication of the existing problem. Nimeshawahi kukutana na dada ambaye aliniambia wazi mme wake sio mwanaume maana hajui kutimiza wajibu wake. Yule dada sio kwamba alikuwa ana cheat bali ananieleza tatizo alilonalo maana mzee alikuwa na wivu wa kupindukia. Mimi as mimi sitaki kabisa kujiingiza kwenye biashara ya kuchunga mwanamke...maana ni mwanaume niliyekamilika. Akhuu kutafuta pressure zisizo na sababu
 
Ukijua itakusaidia nini? Au unatafuta sababu ya kumuacha?
 
Hapo tuko pamoja..
Kwani sitegemei kuna mtu ana anza tu kumchunguza mwenza wake bila kuona dalili za uwezekano wa kuibiwa.

Hata yule alokuja na uzi wa mume wake anatembea na secretary; alibadili sim card baada ya kuhisi uhusiano usio wa kawaida kati ya mumewe na huyo secretary.

Still watu wakatoa comments za kumkebehi eti ni kiherehere. Kosa lake ni lipi na alikuwa nafanya kazi yake ya prosecution ili awe na informed decision kuliko kubaki ana guess.

Kuna anayechunguza bila sababu???

Sikuona hiyo thread na kwa hiyo siwezi kutoa comments zozote,

Nakubaliana na wewe kwamba huwezi kuanza kumchunguza mwenzi wako bila sababu....Sawa.

Tatizo langu na labda mjadala wote huu, ni kwamba, unamchunguzaje??

Kwa kumpekenyua pekenyua sehemu zake nyeti hata akirudi kutoka gengeni??

Please...rudia kusoma hoja ya mleta mada!!

Babu DC!!
 
Hapo kwenye bold huoni kuwa unaji contradict. Mwanaume kamili na unaogopa matatizo. Lol
Naji contradict vipi? Unafikiri ukiamua kucheat utakuwa umenikomoa mimi? Mimi siogopi matatizo ya ki ukweli. Hayo ya kuwinda mwanamke nyuma mwanaume aliyekamilika hana muda nayo. Maana utakuwa unaongozwa na hisia na si lazima kuwe na ukweli... akicheka kosa, akisalimiana na mtu kosa, akichelewa kurudi kosa. Wewe unafikiri hayo yatakuwa maisha? Najiamini kabisa natimiza wajibu wangu na sina muda wa kutafuta matatizo yasiyokuwepo. Nyinyi mnaoona hayo ndio mapenzi kila la kheri
 
Mimi as mimi sitaki kabisa kujiingiza kwenye biashara ya kuchunga mwanamke...maana ni mwanaume niliyekamilika. Akhuu kutafuta pressure zisizo na sababu

Hata ukiona dalili za mienendo iliyo na mushkeli bado hutataka kujua kulikoni? Na mwanaume gani aliyekamilika ambaye ana hisia tete na anayeogopa kujua ukweli kisa hataki kuumizwa? Hebu jifanyie tathmini upya ya huo uanaume wako.
 
Kuchunguza siyo kosa ila issue ni "WHEN" na "HOW"

kupekenyua nyeti za mkeo ni udhalilishaji hata mimi napinga...ila kuna njia nyingi tu za kufanya upelelezi ambazo si za kidhalilishaji...ukizingatia technologia imerahisisha kazi.

Hata kupendwa hakulazimishwi vile vile...ndio maana watu tunataka kujua ukweli ili tujue 'the time to run...to walk away...or to stay'

Back
Top Bottom