Wawezaje Jua kama Mkeo ame Cheat Siku Hiyo?

Si kushauri ufanye ila ukitaka kujua mkeo amekuendea kinyume muwekee tego tu hiyo ni dawa tosha kwa midume inayopenda wake za watu
 
Heshima mbele wana JF na mapumziko marefu ya weekend and eid el fitr,naomba kuongeza upeo tu kupenda kujua kwa wapendanao au walio ndoa kwa jinsia zote utajuaje kama mwenza wako ametoka nje ya ndoa kwa siku hiyo?au hata kesho yake kama inawezekana?Nimewahi sikia wanawake wanaweza kujua performance ya mwenza wake:sina hakina na hilo pia kwa wanaume je?

ingiza kidole afu angalia uzito wa ute
 
Ee bana ee ulikuwa una waza nini aisee?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa ukigundua si utamuacha..
Kiufupi ni ngumu kujua kama mwenzako kakucheat..
Kwa sababu cheaters wengi they are so clever..

Kweli kabisa mkuu,

Utakuwaje cheater halafu ujulikane kirahisi??

Kama mtu anadhani kwamba hana akili na ujanja wa kuficha mambo yake ya infii basi na asithubutu kucheat!!

Babu DC!!
 
Heshima mbele wana JF na mapumziko marefu ya weekend and eid el fitr,naomba kuongeza upeo tu kupenda kujua kwa wapendanao au walio ndoa kwa jinsia zote utajuaje kama mwenza wako ametoka nje ya ndoa kwa siku hiyo?au hata kesho yake kama inawezekana?Nimewahi sikia wanawake wanaweza kujua performance ya mwenza wake:sina hakina na hilo pia kwa wanaume je?

Kama unahisi mkeo au GF wako anacheat, umia busara za kiume kuthibitisha kisha chukua hatua kama mwanamume....!!

Hiki unachofikiria ni sawa na kujiandalia kitanzi!

Babu DC!!
 
mmmh, ukijua unamwacha??
Au unatafuta nyumba ndogo au kidumu?

Ndo maana wewe ni dada mkuu......

Hivi mwanamume wa kweli unaanzia wapi kumpekua pekua mkeo eti kujua kama hajatimuliwa vumbi siku hiyo??

Haki ya nanai, ikitokea toto la mama likamfanyia hivyo binti au mjukuu wangu....siwezi kulipa hata nafasi nyingine... Hata kama nimekula mahari ya 16Tr kama zilizofichwa ulaya!!

Ndo maana tutaendelea kuwakumbusha kwamba, kuna vitu ile kuviwaza tu, unathibitisha kuwa umetoka nje ya msitari wa mwanamume wa kweli wa Kiafrika!! Kwa sababu, mwanamume wa kweli anaamini kuwa mke wake hawezi kugawa hazina yake kwa mtu mwingine...FULL STOP!!

Babu DC!!
 
kwa sisi wataalamu tunagundua nikimuangalia tu hivi najua. ila inatakiwa uwe na uzoefu wa kutosha na hawa watu.
 
Ndo maana tutaendelea kuwakumbusha kwamba, kuna vitu ile kuviwaza tu, unathibitisha kuwa umetoka nje ya msitari wa mwanamume wa kweli wa Kiafrika!! Kwa sababu, mwanamume wa kweli anaamini kuwa mke wake hawezi kugawa hazina yake kwa mtu mwingine...FULL STOP!!Babu DC!!

Kwa hiyo ukiamini kuwa mkeo hagawi hazina yake kwa mtu mwingine wakati uhalisia wa mambo unakinzana na imani yako, huoni kwamba hapo utaendelea kushikilia imani potofu?
 
Kwa hiyo ukiamini kuwa mkeo hagawi hazina yake kwa mtu mwingine wakati uhalisia wa mambo unakinzana na imani yako, huoni kwamba hap utaendelea kushikilia imani potofu?

Which is better?

Kuwa na imani potofu kwamba mke wangu hagawi uroda nje; na hapo hapo nikajipa peace in mind na kuendelea kuwa safe huku nikidunda mzingo na kujiendeleza au kujiweka roho juu kuhangaika kutafuta watu wanaocheat na mke wangu??

Nimesema mara nyingi hapa hapa jamvini kwamba ndoa inahitaji imani...Kama huna hiyo imani kwa mwenzio bora ukajaribu utowashi....Tutakuzika tu baada ya siku kidogo kwani BP haiwezi kukupa nafasi!!

Babu DC!!
 
Iliibiwa babu. Ila nna suspects wawili, Kongosho na Nyani Ngabu.
nangojea december nikienda kwa mababu niwaulize. Nna gobore ila halina leseni, so nalificha, nikiona cheater namlipua

Duuuuuuuuuuuuhhhhh.....!!

Mbona hao wote uliowataja kwangu ni untouchable???

Bahati nzuri huko nilishamazalina nako....I am more than safe!!

Babu DC!!
 
Which is better?

Better is to know the truth!!!

Kuwa na imani potofu kwamba mke wangu hagawi uroda nje; na hapo hapo nikajipa peace in mind na kuendelea kuwa safe huku nikidunda mzingo na kujiendeleza au kujiweka roho juu kuhangaika kutafuta watu wanaocheat na mke wangu??

Utakuwaje na peace of mind ambayo msingi wake ni imani potofu? Peace of mind comes upon knowing the truth.
Na huwezi kuwa safe kwa kuwa na false peace of mind. Au wewe unazungumzia safety in what sense? Mkeo acheat huko nje huku wewe unajipa imani potofu kuwa hacheat...kuna safety gani hapo?

Nimesema mara nyingi hapa hapa jamvini kwamba ndoa inahitaji imani...Kama huna hiyo imani kwa mwenzio bora ukajaribu utowashi....Tutakuzika tu baada ya siku kidogo kwani BP haiwezi kukupa nafasi!!

Imani ambayo msingi wake ni ukweli na uaminifu hiyo nakubali. Lakini imani ya upofu, kijinga, na kipumbavu ambayo msingi wake ni uoga wa kukabiliana na ukweli mwisho wake ni maziko yako wewe mwenye kuishikilia.
 
Better is to know the truth!!!

Utakuwaje na peace of mind ambayo msingi wake ni imani potofu? Peace of mind comes upon knowing the truth.
Na huwezi kuwa safe kwa kuwa na false peace of mind. Au wewe unazungumzia safety in what sense? Mkeo acheat huko nje huku wewe unajipa imani potofu kuwa hacheat...kuna safety gani hapo?

Imani ambayo msingi wake ni ukweli na uaminifu hiyo nakubali. Lakini imani ya upofu, kijinga, na kipumbavu ambayo msingi wake ni uoga wa kukabiliana na ukweli mwisho wake ni maziko yako wewe mwenye kuishikilia.

Kama utakumbuka niliyosema jana, ndoa ni sawa na sovereign state...Kwa hiyo kuna mambo ya ndani ya kila ndoa ambayo ni unique na huweza kuyakuta sehemu nyingine.

Binafsi sihitaji kujua kama mke wa anacheat na siwezi kuhangaika kutafuta ukweli wa ovyo kama huo ambao utaishia kuniumiza bure...Ila ikitokea nikajua kuwa mke wanagu anacheat...hilo ni jambo jingine.

Sasa sijui wewe unaongelea stage ipi? Pale unapokuwa umejua, kabla ya kujua au wakati wa kuhangaika kutafuta taarifa ili ujue??

Mie sijui na sitaki kujua labda kama nimegonganishwa na ukweli...!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom